Tafadhali naomba mnisaidie mke wangu anapata shida. Mke wangu mimba iliharibika mwaka jana, damu nyingi ilimtoka. Baadae alianza kuumwa tumbo chini ya kitovu, Nyonga na Mgongo. Alipofanya...
Utangulizi :
Kumkaribisha mtoto mchanga duniani huwajambo la furaha kwa familia. Lakini nchini Tanzania akina mama wengi wanaendelea kupoteza maisha yao wakati wa kujifungua. Vilevile watoto...
helo wadau nimepata janga la kuumwa na mbwa wa jirani, nimemuuliza jirani kama mbwa wake ilichomwa sindano, ya kinga, nimeambiwa alishachomwa. sasa wataalamu ningependa kujua kama kuna haja ya...
Anaitwa charles ana miaka 26 ni mwanafunzi wa ngazi ya stashahada na yuko mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha SAUT mwanza.
Tatizo lake ni kuwa na waswas na afya yake mana kafanya mchezo kuzama...
Naomben kujuzwa n nn knasababsha mimba kuwa kubwa haraka au kuonekana mapema tofauti na umbile la mtu, namaanisha labda kuna vyakula vnasababsha. Naomben msaada wenu
Wana JF naombeni ushauri wenu..Meno yangu yameoza toka nikiwa mdogo sasa nina miaka 21 nachukia sana rangi ya meno yangu kwani sina uhuru ninapokuwa katika maongezi na watu nifanye nini yarudi...
Kuna rafiki angu wa karibu sana amepata tatizo anasema akiamka asbh anakuta kuna kama usaha kwenye kichwa cha uume wake ameenda hospital ameeambiwa mkojo mchafu akachomwa sindano na kuna vidonge...
Wakubwa naomba msaada. Mke wangu uke wake unadischarge maji maji mazito kidogo ambayo hayana harufu.
Ana mimba ya miezi mitatu na nimekuwa kila nikikutana naye kimwili analalamika kuwashwa. Je...
Vemma Mangosteen nikirutubisho kisichomfano kwenye karne hii kilichotokana na uvumbuzi wakipekee na waajabu uliofanywa na madaktari bingwa na wanasayansi wazamivu kwenye fani ya tiba na afya...
Tunaweza kuwa tunalalamika kuwa Kansa ya Shingo ya Uzazi imeenea sana, pengine ikawa inasababishwa na wanaume.
Najiuliza kama una vijidudu vya Kansa Ya Tezi Dume, alafu yale maji-ute...
Naomba kuuliza wana jukwaa hilli.
Je Bima ya Afya ina cover ukihitaji kubadili meno na kuweka ya bandia?
Ama ni hospitali zipi na kwa gharama zipi naweza pata huduma hii kwa Dar es salaam?
Jamani kwa muda sasa huwa najiuliza huwa inakuwaje mtu unaenda hospital kupima, lkn dr anakwambia ati ugonjwa hauonekani, hivyo tiba hakuna. Lkn ukienda kwa watu wa tiba asilia unafanikiwa, hii...
Mimi ni jinsi ya kiume tatizo langu kubwa ni juu ya mpenzi wangu. Kila tukimaliza kufanya mapenzi (sex) yeye hujihisi maumivu tumboni.
Kwa anae fahamu hii inasababishwa na nini anisaidie
Jf mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye miguu.najitahidi kuosha miguu na kuvaa viatu ambavyo sivyakufunika ila bado inaendele, kama kuna mwenye kujua dawa naomba msaada...
Miezi ya hivi karibu, Makamu wa rais, Dk Mohammed Gharib Bilal alinikuliwa na vyombo vya habari akisema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi maskini zinazoongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi wa...