Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari za kazi, naomba ushauri wenu juu la tatizo alilonalo mwanangu. nilikuwa namvalisha pampers lakini sasa zieanza kumtoa vipele. nimeacha kumvalisha pampers kw sasa, ni dawa gani ambayo naweza...
0 Reactions
23 Replies
17K Views
Utangulizi Chungwa ni tunda la mchungwa. Ni kati ya matunda yanayovunwa sana duniani. Jina la kisayansi ni Citrus aurantium L. var. sinensis L. au Citrus sinensis (L.) Osbeck. Ni jamii ya matunda...
2 Reactions
19 Replies
41K Views
Habari wanajamvi, mimi ni kijana wa miaka 21, ninafanya mazoezi ya weight lifting lengo likiwa ni kujenga mwili mzuri ambao upo fit. Sasa nasumbuliwa na tatizo moja, ni kwamba mimi ni mwembamba...
0 Reactions
16 Replies
14K Views
Heshima yenu wakuu! Jana nimeenda Hospital kucheki Sperm Analysis na majibu yake yamenistua sana. Nimeambia sina Sperm, yaani siwezi tena mpa mwanamke Mimba, japokuwa nina mtoto mmoja wa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari za Jumapili. Kuna mtu alikua ana msafirisha mgonjwa ambae tayari alikua mwathirika wa vvu, sasa kwa bahati mbaya gari likapata ajali na wote kuumia vibaya kiasi cha kuvuja damu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani mwenzenu nina Tatizo la Uume wangu unapokuwa haujasimama basi huwa mdogo kama wa mtoto, tatizo na suluhisho ni nini? PIA uume unaposimama ninapotaka kufanya tendo la ndoa basi Husinyaa...
0 Reactions
8 Replies
32K Views
Naomba msaada kwani sasa ni wiki ya tatu nilisafiri Sumbawanga kwa shughul za hapa na pale nilikuwa natumia vyakula vya asili. Sasa toka nimerudi mjini napata tabu, Uume muda wote unasimama mpaka...
0 Reactions
56 Replies
11K Views
hbr zenu wanajf mi nilpatwa na uvimbe km upele kwenye uume baadae ule uvimbe uliisha lakn uume ukawa unawasha sana sasa hivi nashangaa kila uume ukisimama au nikitizama uume nikijaribu kubonyeza...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habar wanajf. Watu wengi wamekuwa wakisumbuka kutafuta dawa ya nguvu za kiume bila kujua kuwa chanzo nini, ila leo napenda niwaeleze kuwa"kuna mazoezi maalum ambayo ukiyafanya husaidia misuli ya...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Ni kwa muda mrefu nilisumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa vidonda vya tumbo..hakuna dawa ambayo niliisikia,niliambiwa,niliona ikitangazwa kwenye media mbalimbali ambayo sikuinunu a bila kujali...
0 Reactions
25 Replies
26K Views
hbari wanajukwaa. mke wangu ana kitu kigumu ukibinya binya tumbo unakifeel . juu kidg y kitovu. size yake kama 7cm n upana 4cm. hakionekani kw nje na hakiumi ila akilalia tumbo kuna maumivu...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Warts inaweza kutokea kwenye mikono. Sehemu zilizoota vinundu ni vinyama vilivyoota na ukiviangalia kwa makini vinamwonekano kama taulo. Ni ugonjwa ambao pia unaweza ukatokea kwenye kiungo...
2 Reactions
6 Replies
9K Views
Nitumie nini? Ili nywele zangu ziwe nyeusi, nzuri, zenye afya na zisikatike. Kama ntawekewa njia za asili za kupendezesha nywele zangu ntafurahi Zaid.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
kama unaweza kunisaidia nisaidie kashfa na majungu hayajengi tatizo langu huwa namwaga sperm zikiwa zimeshikamana yaani ni kama mafuta ya mgando ndani ya majimaji au mda mwingine bila majimaji...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wanajamvi! Yapata miezi 6 sasa toka nianze tokwa na vipele hospitalini, tube nyingi na sindano nimetumia bila afadhali. Kuna msamaria akanishauri nitumie dawa aina ya BBE, nilitumia ikanipa...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wana Jf habari za mchana... Kutokana kukaa sana ofisini nimekua mvivu na nakosa mdaa wa mazoezi...kitambi kimechomoza na knatia aibu, naomba dawa mbadala ila yenye garantie kupunguza kitambi...shukran
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wanajf,
0 Reactions
10 Replies
4K Views
watalam je kuna dawa ya kutuliza maumivu ya mifupa hasa miguuni ?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je wajua ku socialize kazini ni muhimu sana kwa afya yako wewe mfanyakazi? Ku-socialize kazini na wafanyakazi wenzako kunakuondolea stress kwa kuufanya ubongo wako kuchangamka. Hivyo wale wenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
latest news Handball team fails to secure passports... Publish Date: Mar 03, 2015...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…