Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Jamani, msaada. Ametumia norplant tarehe 12.03.2015. Je lini, when to have unprotected sex. Tukutane baada ya siku 2, 3, 4, 5. Help
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu? Bila shaka mko salama. katika pita pita nimekutana na mjadala katika site flani hivi watu wakijadiliana juu ya viability ya vidole (pichani) kutofautiana kwamba inaweza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini wana JF. Kuna mtu anayefahamu maadhimisho ya Siku ya Figo duniani yatafanyika katika Mkoa upi na Hospitali ipi kwa mwaka huu? Kwa mwaka Jana kwa pale Arusha waliiadhimisha katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’ KWELI ni maajabu! Yule mgonjwa ambaye mpaka sasa, madaktari hawataki kumtaja jina, aliyelazwa Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) Hospitali ya Taifa Muhumbili...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, mimi ni kijana wa miaka 31, ninafanya mazoezi ya weight lifting lengo likiwa ni kujenga mwili mzuri ambao upo fit. Sasa nasumbuliwa na tatizo moja, ni kwamba mimi ni mwembamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Infective endocarditis is a form of endocarditis, or inflammation, of the inner tissue of the heart, such as its valves, caused by infectious agents. The agents are usually bacterial, but other...
1 Reactions
2 Replies
836 Views
http://www.african-sweetheart.com/2015/03/health-female-hygiene-and-other-honest.html?m=1
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Invalid post ID misused by another user
0 Reactions
2 Replies
954 Views
Ni dawa gani huweza kurudisha uwezo wa mwanaume kumpatia mwanamke mimba?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu wa damu kabisaa ananifata ambaye ameolewa,jana kaja kwangu ananiomba nimshauri na tatizo lenyewe nii." Akisex na mumewe wanafanya vizuri inapofikia mumewe ana ejaculate.Sasa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Ni dawa gani huweza kurudisha uwezo kutungisha mimba kama alikuwa hawezi kufanya hivyo ?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tumia kiungo cha tangawiz kwa kukisaga vyema kuchanganya na maji kwa uwiano stahili kwa maelezo zaid 0712505049 whats app gharama ni 5000 tu(elfu tano)
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni magonjwa gani husababisha mwanaume Kukosa uwezo wa kumpatia mwanamke mimba?
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Habari zenu wadau, nina tatizo nahis kwnye mfumo wa mkojo au uzazi. Ninahic maumiv kutoka kwenye kibofu hadi kwenye mbavu upande wa kushoto. Kende naona km zmepishana urefu ya kulia imeshuka kdgo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi wenzangu, kuna binti ni jirani yangu kanifuata kuomba ushauri kwa kuwa mtaani naitwa jina la Doctor akidhani mimi Doctor kweli kumbe jina. Inasikitisha kwa umri wake, ila yafaa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
waungwana habari kama kichwa kinavyosema kiukwel nasumbuliwa sana na tatizo hili la tumbo kias kwamba nakosa raha ya kujiisi ni mzima wa afya ..Nasema hiv kwa sababu maumivu haya ya tumbo si...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
10 things Doctors Secretly Wish they could tell you What your doctor is really thinking might shock you A doctor’s time has always been a precious resource, so we need to make every minute...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hafidh Masokola mwenye umri wa miaka 47, mkaazi wa Tabora amedai kuwa alitumia dawa aina ya Metakelfin miaka minne iliyopita kwa lengo la kutibu ugonjwa wa malaria, lakini dawa hizo...
1 Reactions
28 Replies
17K Views
Doctor, Mimi ni mama mwenye umri wa miaka 38 nimeolewa na nimejifungua mtoto wa kwanza nikiwa na umri wa miaka 29 na baada ya miaka saba nilijifungua mimba ya pili watoto wawili pacha. Katika...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Ndugu wana wana JamiiForums, Dada yangu ana mimba ya miezi 6 kasoro, ila majuzi chupa yake ya uzazi imepasuka na inamwaga sana maji mfululizo ukeni, ila hasikii maumivu na akaandikiwa sindano...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…