Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Faida 10 za kiafya za Mayai Mayai ni moja ya vyakula vichache ambavyo naweza kuviweka katika kundi la vyakula ‘bora zaidi' kuliko vyote. Mayai yamejaa viinilishe mhimu na vingi kati ya...
2 Reactions
13 Replies
16K Views
Nikikaa nikaweka nne miguu baada ya muda mfupi nahisi ganzi miguuni au nikiweka mkono vibaya au kuuegemea? Tatizo ni nini?
1 Reactions
3 Replies
22K Views
Diane Kelly, a comparative biologist that studies anatomy, shares that there are basic facts about the human body that we’re still learning.During her talk at TEDMED, Kelly delved into how a...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Wanajamvi ninaomba msaada wenu katika hili. Mimi nina tatizo moja nikianza kufanya mapenzi uume haulali kabisa hata kama ni usiku mzima hadi asubuhi, wasichana wananikimbia sasa. Nikikutana naye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu katika jukwaa hili, salaam. Nakuja kwenu kuomba ushauri juu ya matumizi mazuri ya kilevi (WISKY) hasa aina ya GRANTS. Nikili kabisa kuwa mimi si mtumiaji wa pombe, lakini kwa sababu...
1 Reactions
23 Replies
29K Views
Habari zenu, Naomba kujuzwa jamani, Mimi sina matatizo ya macho ila nilitamani kuvaa miwani za kawaida tu {zab kununua kwa machinga}. Ila tatizo linakuja, kwanini kila miwani...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu. Poleni na kazi. Mwenye utaalamu naomba afungukenaomba nijuzwenamna ya kupata baby girl m'period ya wife ni 22 au 23 kila mwezi
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Mtoto ana miezi mitatu na nahitaji kwenda kazini ni kipi cha kuanzá kumpa kati maziwa ya ng'ombe, uji wa dona nk. Naomba wenye uzoefu nimwenzishie lishe gani ili asidhurike tumbo.
0 Reactions
5 Replies
22K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua nini kinasababisha binti ambaye hajazaa anatokwa na maziwa kwenye chuchu? Tiba yake ni nini?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za leo wanaJF. Mimi ni mzazi na mtoto wangu ana umri wa mwaka mmoja, ningependa kujua nimpe vyakula/ lishe ya aina gani mwanangu ili apate kurefuka kwa harakaharaka na kupata mwili...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Nina shangaa kuna jirani yangu alikuwa na VVU miaka mitano imepita akawa bado hajaanza kutumia dawa kwa kuwa CD4 hazijashuka. Ila cha kutushangaza ni kwamba kapimwa na madaktari kuangalia kama...
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Habari za asubuhi, Ni kwamba niko ugenini pande za wasukuma huku vijijini Kilimatinde ndani kabisa,sasa katika kuamka asubuhi imeandaliwa breakfast ya maboga na maziwa ya mgando. Sasa katika...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Tatizo la Unene Uliopitiliza (Obesity) Tatizo hili la unene uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini. Njia rahisi na inayokubalika...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za Jumatatu ndugu zangu, Siku tano zilizopita Mungu alinijaalia mtoto wa kiume. Sasa kuna baadhi ya watu wameniambia kuwa, kitivu cha mtoto kikidondokea kwenye uume wake mtoto anakuwa si...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari wakuu, Naomba kujua madhara ya kunyoa ndevu kwa kutumia magic powder. Maana leo nilingia saloon moja kinyozi akaniambia magic powder ipo lakini kuna mteja mwingine alibishana sana na...
0 Reactions
31 Replies
18K Views
Habari zenu wanajamvi, Mpaka naandika hapa kuhusu hili tatizo nililonalo la kuanguka na kupoteza fahamu ambalo lilinitokea kwa mara ya kwanza mwaka 2013 nikiwa na miaka 30. Nilianguka ghafla tu...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Habarini ndugu, rafiki na jamaa zangu wa humu? Nina swali la kupewa ufumbuzi kimsaada zaidi. Hii itawahusu wazazi wote na wataalamu wa maswala la watoto wachanga. Stori inaanza hivi; Ni...
0 Reactions
9 Replies
29K Views
Jamani mtu anaweza kufanya mapenzi na mwanamke mwenye UKIMWI kama mara tano asipate?Baada ya kugundua mwanamke kaathirika alienda kupima ila alikutwa negative? Pia nauliza tena kuambukizwa...
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…