Habari za humu ndugu?
Straight to the point: Juzi nimefanya mapenzi na bae wangu, sasa tatizo limekuja pale wakati wa kubadilisha style, dushelele fasta inalegea au ukitoa nje ndani ya 15seconds...
Wengi tunafuga nyuki, tunakula asali lakini hatujui kama nyuki wana faida zaidi ya hizi hapa.
Wanasayansi kutoka chuo kikuu cha tiba Washington, Marekani wamegundua katika utafiti wao kuwa sumu...
Napenda kuwatakia asubuhi njema kwa wale wote mlioweza kuiona siku ya leo na bwana awatangulie.
Mimi ni msukuma by nature and nw niko miaka 27 binafsi yangu nimekulia usukumani ambako suala la...
Kuna ushauri na somo pia napenda kulijua na litanisaidia pia kufahamu hivi kiwango cha juu cha cd4 ni ngp? na je mtu akiwa na chini ya cd4 300 akianza dawa anaweza kusukuma kama miaka mingapi? na...
Katika utafiti uliofanywa kwa vijana 1,500 kuanzia miaka 20 na kuendelea huko Australia ilionesha kwamba asilimia 25 wana matatizo ya jogoo kuwika na asilimia 8 hali ni mbaya zaidi. Jogoo...
Habarini wana jamvi
Ni sa 04:00 ya usiku naandika post hii sina hata lepe la usingizi,nimeshtuka usingizini majira ya 02:15 usiku niliupata usingizi majira ya saa sita usiku tena ni baada ya...
Ndugu wananjamvi mimi nilipimwa mwaka juzi nikakutwa nina hepatistis B. Muhimbili wakanipima tena wakatkuta ni kweli ninaumwa na wakanishauri nitumie dawa za ukimwi. Humu jamvini kunawatu...
Kuna mtu anamimba inayokalibia miezi 9 anatatizo la kutokwa na majimaji kwenye uke ambayo hayana harufu, kwa anayejua sababu na suluhisho la hili tatizo anisaidie
Heshima yako Daktari
Katika maisha yangu sijawahi kushuhudia kupatwa kwa jua "solar eclipse" lakini safari hii nimeletewa fursa adimu ya kushuhudia tukio hilo hapo kesho tarehhe 20. Pamoja na...
ARVs now for any CD4 count.
People living with HIV (PLWHIV) would from October start anti-retroviral treatment straightaway given any CD4 cell count upon testing, the government has announced...
Jamaa Yangu ameniambia mkewe amejifungua Mtoto hivi karibuni. Lakini Mtoto inaonekana ana tatizo la tumbo kuvimba eneo Kati ya kitovu na kifua, uchunguzi wa madaktari eneo alilopo umebaini kuwa...
Habari gan ndgu, naombeni ushauri ktk hii kitu(sickle cell anaemia) maana inanipa utata kdgo,
Kwa kawaida n ugonjwa wa kurithi ila inakuaje kama :-
1) Mwanamke ndiye mwenye hvyo vimelea ila...
Habari waungwana,
Shida ni kwamba, tangu jana joto la mwili limepanda sana ili hali sijisikii vibaya, niko sawa tu. Ila linaniletea hali ya uchovu sana kila wakati..
Je, nini tatizo/nini...
By
DENISE ROLAND
Aug. 28, 2016 2:40 p.m. ET
0 COMMENTS
GlaxoSmithKline PLC is pinning the future of its HIV business on an audacious bet: upending the decades-old treatment strategy that has...