Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Msaada wenu Dr's humu jamani nimeungua na moto wa gas baada ya kutokea mlipuko wakati napika maeneo niliyoungua ni usoni mpaka sasa nimetumia asali pekee kama tiba ya huduma ya kwanza. Naombeni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Njia hii ya kwanza hutumika hata kwa aliye fungwa kizazi, nguvu za kiume , ama kuna mtu au kitu unataka kusahau kabisaa hapo ni wewe na nia yako Allah ndiye mjuzi zaidi. NJIA YA KWANZA Chukua...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Waungwana hivi kile kifaa cha kusafisha tumbo Kwa kikiingaza nyuma kinaitwaje? Watu wa zamani walikitumia sn.Na picha yake please nikione.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa mda wa miaka 18, jicho langu la kulia liliugua likaacha kuona,saivi halina mtoto wa jicho,je naweza pona? kulingana na mda ambao nimeshindwa kulitibia kwasababu ya Ukata
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mtindi unaorodheshwa kuwa miongoni mwa vyakula bora kutokana na kuwa na virutubisho vingi vya aina mbalimbali ambavyo vina faida nyingi katika mwili wa binadamu. Vikitajwa kwa uchache...
3 Reactions
11 Replies
15K Views
Wakuu, ni siku ya tatu sasa naumwa sana shingo upande mmoja. Hii sijui imetokana na nini? Pengine ni kulala vibaya kwa sababu nimetoka nje ya Dar niko mkoa now so ninalalia kitanda 'kipya'. Hapa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu wa Vitengo habarini! Nina tatizo ambalo silielewi ni miezi miwili sasa napata choo uharo kila ninapo pata haja ila sijioni kama naumwa kabisa. Najiona niko poa kiafya wala sipati maumivu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimepimwa macho nikapewa miwani nikaambiwa niivae muda wote.Tatizo nikivaa naona kizungu zungu marue rue badala ya kuona vitu mbele naona mawingu blurred images.Naomba msaada Opticians na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
NENO KUHUSU MAGONJWA YA AKINADADA NA AKINAMAMA - MAGONJWA YA AKINAMAMA YAMEUCHACHAFYA ULIMWENGU TANGU ZAMANI SANA *Padri Titus Amigu* Nadhani tumejipatia muda mrefuna wa kutosha kujadili mada...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwema wa wana JF?, bila shaka swali lipo clear na naamini Madoctor kwa ufasaha kabisa. Baada ya tafiti zangu kutoka kwa wanachama wa Punyeto mashughuli wamenithibitishia kuwa fanya ufanyavyo...
0 Reactions
51 Replies
9K Views
Wapendwa kama kichwa kinavyosema hapo.Kumekua na kauli nyingi juu ya kitendo cha kupiga punyeto na kubaki wakishutumiwa wanaume pekee.Kwanza ningependa tutambue punyeto ni nini. Punyeto ni...
1 Reactions
1 Replies
14K Views
Habarini wana Jamii Naswali je ni kawaida kwa mtoto baada ya operation amekaa wiki 2 alikuwa hakoromi ila wiki ya 3 ameanza kukoroma naombeni mawazo yenu.
1 Reactions
1 Replies
10K Views
Tar 30/01/2018, nilienda na mama kijacho wangu ktk zahanati moja ya Serikali kwa lengo la kuanza Kriniki kama nimepatia, na tulienda wote hiyo siku ya kwanza kwakuwa kanuni na taratibu zinataka...
2 Reactions
23 Replies
21K Views
je! kuna yai kati ya hayo lenye nguvu kuliko lingine. bila yai hilo mimba haitokei...wajuzi naomba mtirilike mnipe madini.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nina group la damu AB yaani kwa mwezi lazima niugue homa na malaria kuu sina raha ya kuishi duniani. Nimepima magonjwa yote yasiyo na tiba sina. Wataalam nisaidieni.
4 Reactions
60 Replies
7K Views
Tafadhali kwa mdau yeyote mwenye ufahamu wa hii biashara ya kupima magonjwa mbalimbali tuwasiliane au aweza kutoa elimu hapa ili itusaidie wote kukamata fursa. Shukrani
1 Reactions
4 Replies
925 Views
Uchunguzi mpya umeonyesha kwamba, katika tunda la komamanga kuna kemikali zinazozuia kansa ya matiti isitambae mwilini. Uchunguzi huo uliochapishwa katika jarada la Utafiti la kuzuia Kansa...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Binafisi nashidwa kujua ni muda au miezi mingapi mama mjamzito anashauriwa kuacha kushiriki tendo la ndoa na kama atashiriki ndani ya muda huo ni madhara gani yataweza kutokea kati ya mama au mtoto.
1 Reactions
113 Replies
50K Views
IIgwee JF, Nina mtoto wangu anapotumia dawa ya kusaidia kupumua kama vile amoxcilin huwa akivua chupi huwa imejaa uchafu. Je, hili linatokana na nini na nini nifanye kuondosha tatizo lakutoka taka?
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Ni kuhusu virusi vya ukimwi. Nina dada angu ni nesi hospitali flani sasa mwezi huu alikuaja likizo nyumbani. Bahati mbaya likizo yake ikaenda sambamba na mjomba etu kupata ajali ya gari na...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…