sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 2,525
- 7,377
Amefanya hivyo kwa ajili ya kufanya ibada mwezi huu wa Ramadhan ambao Zuchu ni binti wa kiislam anaependa sana kufanya ibada na ndio aliombadilisha Diamond kuwa mtu wa kufanya ibada sana.
Sisi watanzania tunamtakia mfungo mwema wa Ramadhan aendelee kuepuka vishawishi haswa vya wanaotafuta kiki ndani ya mwezi huu ili waongelewe na kukwaza wengine.