Elections 2010 Zomea Zomea Yaanza, Kikwete ana tabu

Status
Not open for further replies.

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
256u2k5.jpg
 
Muuza sura hana shida atakuwa akicheka tu! Nasikia hata mawe ya Mbeya alikuwa anacheka cheka tu!
 
Wakuu, mida hii hii nimekutana na mbatia na msafara wake eti anatoka kurudisha form - vibajaji na bodaboda kibao kutujazia foleni. hivi anategemea kweli anaweza kuwa rais wa nchi hii au anataka aingie kwenye vitabu vya kumbukumbu? - nafikiri wanasiasa wengi hawakusoma probabilty na permutation.
 
Kwani Mbatia anagombea urais? Mimi nijuavyo ni kuwa anagombea ubunge jimbo la Kawe. Kuna mtu mwingine ndiye alilengeshwa kugombea urasi kupitia NCCR-Mageuzi.
 
Wakuu, mida hii hii nimekutana na mbatia na msafara wake eti anatoka kurudisha form - vibajaji na bodaboda kibao kutujazia foleni. hivi anategemea kweli anaweza kuwa rais wa nchi hii au anataka aingie kwenye vitabu vya kumbukumbu? - nafikiri wanasiasa wengi hawakusoma probabilty na permutation.
Kwani huyu jamaa anagombea uraisi?
 
zomea zomea!!!!!! sijakuelewa mkuu. hata hilo bango halionyeshi zomea zomea!!! au kuna facts nyingine kama ni hilo bango ndio limekusababisha useme zomea zomea unanipa maswali mengi sana!!!!!! acheni kampen chafu JF nimeona anasema silaha ana kimada so what???? jamani umakini unatakiwa katika kuleta hoja humu. Zomeazomea nilitarajia kuona kundi la watu wakionekana wanazomea au wana mabango yanayoomyesha uzomezi...au taarifa inayosema kuwa mkuu kapita mahali fulani kazomewa na ushahidi wa picha....acheni majungu ccm na chadema hamtashinda kwa kuhunisha kampeni.
mix with yours
 
Watetezi wa ufisadi nao kwa ngonjera hawajambo
 
wewe ndio hazim..............kweli, unafikiri kuzomea hadi uone kundi la watu LOL! nadhani wewe ni great sinker siyo thinker kama unasubiri usikie sauti subiri.
 
kwani hapo unaona watu wangapi? ungeyaandika hayo kama picha ingekuonesha mtu mmoja, hata hivyo huyo huyo anaweza akazomea pia hivyo neno zomea zomea litabaki kama lilivyo, hata unaposikia neno maandamano si lazima liwe kundi kubwa,
hata mtu mmoja anaweza kuandamana na bango moja tu lenye ujumbe uliokusudiwa na yakaitwa maandamano tu.

hapo huna jipya
 
Wakuu msilalamike sanaaa MOD wanafanya kazi yao ambayo ni ngumu, nawapongeza kwa hilo. Nadhani wanatoa na kudisha vitu kulingana na sababu.
Haki ya mtu haizuiliwi(huwezi kuzuia), ila unaiweza ukaicheleweshwa tu. Hii haki ya wanajamii hapa janvini kupata/kutoa habari ya aina yoyote ile.
Mbona hii ni mvua ya vuli tuuuu jamani mafisadi watachoka wenyewe na hila zao maana msimu ndo unaanza, kunakucha sasa. Tumempata mtu ambaye ni corruption free, watanzania wenzangu tushindwe wenyewe kukipatia rungu hiki kifaa, Go Dr. Slaaa!!!!!!!!
 
Wakuu, mida hii hii nimekutana na mbatia na msafara wake eti anatoka kurudisha form - vibajaji na bodaboda kibao kutujazia foleni. hivi anategemea kweli anaweza kuwa rais wa nchi hii au anataka aingie kwenye vitabu vya kumbukumbu? - nafikiri wanasiasa wengi hawakusoma probabilty na permutation.

Mtume tumekwisha. Mpaka Mbatia anataka kuwa Raisi wetu?.
 
Watetezi wa ufisadi nao kwa ngonjera hawajambo

sikiliza mwafrika kamwe sitaacha kuhoji hoja zisizokuwa mashiko na wala SITAOGOPA KUITWA JINA LOLOTE LILE....Maadamu ninaijua dhamira yangu..kwa sababu huwezi kukurupuka na jambo lisilo na kichwa wala mguu hebu angalia post yako na maelezo hayawiani.....argue kisomi ...onyesha uhusiano kati ya picha na post...usikimbilie kuita watu watetezi wa mafisadi..jibu hoja .
mix with yours
 
wewe ndio hazim..............kweli, unafikiri kuzomea hadi uone kundi la watu LOL! nadhani wewe ni great sinker siyo thinker kama unasubiri usikie sauti subiri.

.........huo ndio u-great thinker kuitambua hiyo picha kuwa inazomea......nani- sense
mix with yours
 
kwani hapo unaona watu wangapi? ungeyaandika hayo kama picha ingekuonesha mtu mmoja, hata hivyo huyo huyo anaweza akazomea pia hivyo neno zomea zomea litabaki kama lilivyo, hata unaposikia neno maandamano si lazima liwe kundi kubwa,
hata mtu mmoja anaweza kuandamana na bango moja tu lenye ujumbe uliokusudiwa na yakaitwa maandamano tu.

hapo huna jipya

UKITAFAKARI DAKIKA 3 TU NA KUPUNGUZA JAZBA UTAONA HOJA
mix with yours
 
Naona akili za wengi zimechoka na kukata tamaa.
hamjui hata kujenga hoja zaidi ya kulalama tu.

Mimi ni mwanachama wa CCM ambaye naiombea ife ili nchi ibaki salama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom