Zoezi la sensa limefanikiwa kwa asilimia 95

fugees

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
2,868
882
Latika habari jioni hii selikari yadai zoezi la sensa limefanikiwa asilimia 95, je kwa waliokubali kuhesabiwa tu? au kivipi? .Source itv
 
Limefanikiwa kwa 95% na bado limeongezewa muda wa 100% ili kukamilisha 5% iliyobaki.Uongo mwingine bana..!
 
Ata chekechea angepinga data fake hizi.. Kama 20% sawa but 95% uwizi wa mchana kweupee
 
Latika habari jioni hii selikari yadai zoezi la sensa limefanikiwa asilimia 95, je kwa waliokubali kuhesabiwa tu? au kivipi? .Source itv

Tunapongeza wote waliohamasisha zoezi hili hasa Rais JK,serikali kwa ujumla na Mufti wa Tanzania.
 
Latika habari jioni hii selikari yadai zoezi la sensa limefanikiwa asilimia 95, je kwa waliokubali kuhesabiwa tu? au kivipi? .Source itv
Ni kwamba kama kuna ambao walikataa kuhesabiwa, idadi yao ni chini ya asilimia 5% ya Watanzania...kwa lugha nyingine hawafiki milioni tatu!
 
Serikali Dhaifu, hata majibu yake huwa Dhaifu. Naishi Muheza mjini, hadi leo hii mtaa wetu hakuna hata kaya iliyo hesabiwa. huko vijijini, mfano Kambai, Kwatango na vijiji vingine vingi watu hawaja hesabiwa, leo hii tuna tangaziwa eti zoezi la sensa limefanikiwa kwa asilimia 95.

Kwa kiwango hiki, nakubaliana na maneno " AKILI KUWA ZIMEKUBALI KUONGOZWA NA AKILI NDOGO" (Mh. Mch. Msigwa. Bunge la bajeti 2012).
 
Hapa ndo tunakamilisha selikari dhaifu hatd data zake ni dhaifu.
 
KIMSINGI SIKUBALIANI KABISA NA KAULI HII KWA HOJA ZIFUATAZO
(1) Katika mkoa ninao kaa ramani zilizotumiwa kwa ajili ya kuwagawia makarani maeneo ya kuhesabia ni zilichorwa mwaka 2004 na makarani wakaelezwa eneo moja lina wastani wa kaya 60 mpaka 100 lakini kilichotokea ni kwamba makarani walikuta mambo yakiwa tofauti wengi wao walikuta wastani wa nyumba 100 mpaka 170 kitu kilichosababisha ufanisi wa makarani hawa kupungua sana.
(2)Vifaa vya kuhesabia kusuasua. vifaa kama madodoso vilikua ni vya kusuasua sana. karani anaambiwa akacukue taarifa katika daftari la kawaida alafu atahamisha hii pia ilifanya ufanisi kupungua kuwa karibu na sifuri mathalani dodoso refu lina maswali 62 ni karani gani aliyeuliza maswali hayo na kuyaandika katika daftari la kawaida na baadae eti aje ahamishe alafu aanze kutia vivuli?
 
SENSA 95%,- umeme 14%, maji 43%, mfumuko wa bei 19%, ukuaji wa uchumi 7%! Tanzania isiposambaratika 2015 haitosambaratka Milele!
 
Mhh mie nipo muhimbili na sijahesabiwa kwani hawakuja kwangu
Sasa mie nipo mjini hali ni hiyo jee huko vijijini ?
Nasema hawakuja
 
serikali ya Iran imeshindwa tena kuiteka nchi!!!!!!! tyuangalie uchaguzi mkuu IRan itakuja na nini tena! asante sana Mossad, bila wewe Iran angeisha tutawala!
 
Back
Top Bottom