Ziwa kubwa la chini ya ardhi lagunduliwa sayari ya Mars.

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,422
0edd5b8df522ac39df738b54012c3525


Wanasayansi watafiti wa Italy kwa mara ya kwanza wamegundua ziwa kubwa la chini ya ardhi(underground lake) katika sayari ya Mars.

Ziwa hilo lenye upana wa Kilometer 20 kutoka ukingo mmoja kwenda mwingine limetoa matumaini makubwa ya utafiti wa uwezekano wa kuwepo kwa uhai katika sayari hiyo.

"Maji yamepatikana tayari katika sayari ya Mars, Wasiwasi wa kwanza kwamba huenda kuna maji umemalizika sasa"
Amenukuliwa mwanasayansi wa Italy Enrico Flamini, ambaye ni Manager wa taasisi inayoongoza utafiti huo inayojulikana kama Mars Express.

Kwa sasa Sayari ya Mars ni sayari yenye baridi kali, yenye ardhi ya jangwa na isiyozalisha kitu, lakini inasadikika kuwa uhai uliwahi kuwepo miaka mingi ya nyuma.

e42253ce95a7e58dacb7bd5f3d9ce0ee


(Tabaka la maji ya ziwa hilo chini ya ardhikama linavyoonekana kwa rangi nyeupe)

=========================

A MASSIVE underground lake has been detected for the first time on Mars, raising hopes that more water — and maybe even life — exists there, international astronomers said Wednesday.

Located under a layer of Martian ice, the lake is about 20 kilometres wide, said the report in the US journal Science.

It is the largest body of liquid water ever found on the Red Planet.

“Water is there. We have no more doubt,” co-author Enrico Flamini, the Italian space agency’s Mars Express mission manager, told a press conference.

Mars is now cold, barren and dry but it used to be warm and wet. It was home to plenty of liquid water and lakes at least 3.6 billion years ago.

Scientists are eager to find signs of contemporary water, because such discoveries are key to unlocking the mystery of whether life ever formed on Mars in its ancient past, and whether it might persist today.

“This is a stunning result that suggests water on Mars is not a temporary trickle like previous discoveries but a persistent body of water that provides the conditions for life for extended periods of time,” said Alan Duffy, an associate professor at Swinburne University in Australia, who was not involved in the study.

Being able to access water sources could also help humans survive on a future crewed mission to Earth’s neighbouring planet, with NASA aiming to send explorers in the 2030s.

This particular lake, however, would be neither swimmable nor drinkable, and it lies around 1.6 kilometres beneath the icy surface in a harsh and frigid environment.

Whether microbial forms of life could lie within is a matter of debate. Some experts are sceptical of the possibility since the lake is so cold and briny, mixed with a heavy dose of dissolved Martian salts and minerals.

The temperature is likely below the freezing point of pure water, but the lake can remain liquid due to the presence of magnesium, calcium and sodium.

“This is a discovery of extraordinary significance, and is bound to heighten speculation about the presence of living organisms on the Red Planet,” said Fred Watson of the Australian Astronomical Observatory.

“Caution needs to be exercised, however, as the concentration of salts needed to keep the water liquid could be fatal for any microbial life similar to Earth’s,” added Watson, who was not involved in the research.

The discovery was made using a radar instrument on board the European Space Agency’s Mars Express orbiter, which launched in 2003.

The tool is called the Mars Advanced Radar for Subsurface and Ionosphere Sounding (MARSIS), and was designed to find subsurface water by sending radar pulses that penetrate the surface and ice caps.

MARSIS “then measures how the radio waves propagate and reflect back to the spacecraft,” said the study.

These reflections “provide scientists with information about what lies beneath the surface.”

A team of researchers led by Roberto Orosei of the National Institute for Astrophysics in Bologna, Italy, surveyed a region called Planum Australe, located in the southern ice cap of Mars, from May 2012 until December 2015.

A total of 29 sets of radar samplings showed a “very sharp change in its associated radar signal,” allowing scientists to map the outlines of the lake.

“The radar profile of this area is similar to that of lakes of liquid water found beneath the Antarctic and Greenland ice sheets on Earth, suggesting that there is a subglacial lake at this location on Mars,” said the report.

Researchers said they are not sure how far down it goes, but that it may be around three feet.

Source: AP
 
Mars ni sayari inayofuata baada ya earth (dunia yetu hii)kama sijakosea,.kama ndivyo bila shaka uhai unaweza kuwepo kutokana na kuwa karibu na dunia na pengine nafasi ya viumbe hai kuishi upo pia,..natamani kufahamu zaidi juu ya tafiti za sayari hiyo,.naombeni links wajuvi,.
 
Asante kwa taarifa,waendelee tu na uchunguzi ili ikibidi siku moja tuhamie huko tukawahi viwanja maana huku earth imeshakuwa tabu..
 
Hawa wanawashwa au sifa zinawasumbua.
Huku tuna matatizo chungu muzima na ardhi ya kusaza lakini umbea unataka kuwapeleka Mars.
 
Changamoto kubwa nayoiona wala sio kutafuta maji wala nini.. Changamoto kubwa ni kutengeneza angahewa(atmosphere) hapo ndo shughuli ipo
 
Wakija kutupa misaada tunasema tunanyonywa..sijui ukoloni mambo leo.Kati ya vitu ambavyo wazungu wanajiamlia ni bora wapoteza mapesa mengi kwa sasa kulipa wachezaji,tafiti kama hizo kuliko kuleta huku.Unakuta pesa zamsaada watu wanajilipa Posho ambayo ni sawa na pension ya watu wawili mpaka watatu.
Waendelee tu na tafiti na hawa hawatashindwa kuhama huku...taratibu hata kama itapita karne..si tunalalamika kuwa tunaibiwa madini?Hawa jamaa wakifanikiwa mtakaa na madini yenu ndani ya kuta zenu.Unafikiri pia hawaumii na kauli zetu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom