Zitto usituadae na mtoto wa mnajimu

ADAM MILLINGA

Senior Member
Apr 27, 2011
117
13
Habari zenu wana jf nimeingia ndani ya uwanja huu kwa nia moja yakumwambia mh zito asituadae kwa mtoto wa mnajim nilimsikia mh. Zito akisema kuwa chadema wameenda msibani kwan mtoto wa marehemu (hassan hussein yahaya) ni mkeleketwa wa chadema kwa hilo nasema hapana kwan nilimsikia mwenyewe akisema kuwa baba yake amemrithisha kila kitu je vip kuhusu kuhusu mikoba ya chama (ccm) hivyo mh. Zito asituadae na mtoto wa mnajimu.
 
Wewe ndiyo chundu kwelikweli!!
 
Back
Top Bottom