Zitto Kabwe unataka kurudi Mwandiga umesahau nini?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Sisi wapiga kura wa Mwandiga tulisha umwa na nyoka sasa tunaogopa hata mjusi.

Kuna harakati hapa Mwandiga za kuhakikisha mbunge wa zamani ZZK anarudi kugombea jimboni hapa.

Lkn kwa taarifa yake ZZK sisi wana Mwandiga hatupo tayari kumpokea huyo ndugu yetu maana alitukimbia na kwenda kugombea Kigoma.

Anaona amekwama ndiyo anarudi kwetu wakati alitukimbia?

Baada ya chama chake kupoteza ushawishi kwenye jamii hasa mara baada ya Mwenyekiti wake marehemu Seif Sharif Hamad kufariki.

Mwandiga hatupo tayari kukuunga mkono MWANA WACHUU .
Screenshot_20240110_185819_Instagram.jpg
 
Sisi wapiga kura wa Mwandiga tulisha umwa na nyoka sasa tunaogopa hata mjusi.

Kuna harakati hapa Mwandiga za kuhakikisha mbunge wa zamani ZZK anarudi kugombea jimboni hapa.

Lkn kwa taarifa yake ZZK sisi wana Mwandiga hatupo tayari kumpokea huyo ndugu yetu maana alitukimbia na kwenda kugombea Kigoma.

Anaona amekwama ndiyo anarudi kwetu wakati alitukimbia?

Baada ya chama chake kupoteza ushawishi kwenye jamii hasa mara baada ya Mwenyekiti wake marehemu Seif Sharif Hamad kufariki.

Mwandiga hatupo tayari kukuunga mkono MWANA WACHUU .View attachment 2867631
Chukua fomu na wewe ili tujue nani asiyetakiwa hapo mwandiga!
 
Back
Top Bottom