Zitto Kabwe: Rais Samia alipaswa kutangaza kifo cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa, kitendo Cha Wakuu wa Ulinzi kuwa Watoa Taarifa ni hatari!

Yuko huwa Unatangazwa msiba hapo hapo anaapishwa shughuli zinaendelea yaani Ceremony huwa inaandaliwa hapo hapo anatoka kutangaza anaapishwa hapo hapo
Lazima watanagaze msiba kwanza hata kama anaapishwa wakati huo huo.

Imetoka Botswana amefariki rais makamu anatangaza kifo chake within few hours anaapishwa.
 
KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Dr Samia alipaswa Kutangaza Kifo Cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa

Zitto amesema kitendo Cha kuwafanya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama kuwa ndio Watoa Taarifa ni Cha hatari Sana

Hili ni jambo linapaswa kuwa somo kwetu na kuyaweka mambo ya mabadilishano ya Madaraka " Power Transfer" kuwa ya Kisheria , amesisitiza Kabwe

Source: Jambo TV
Hii ya kutangaza kifo baada ya kuapishwa siyo kweli na hauko sawa. Angesema kuwa alitakiwa kuapishwa hours baada ya kifo na siyo siku mbili baadaye.

Wakuu wa usalama kuwa in control for the whole period inaonyesha ni jinsi gani katiba yetu ilivyo na mapungufu. Halafu huyo huyo Zitto yuko busy kuihalalisha kwa kusupport juhudi. Seriously...!!?
 
Kwahiyo dokta unasema kwamba wachangia mada wengi wanaolalamika ni wakurupukaji, maana hawaulizi kanuni ni ipi zaidi ya kumkaanga mwami
Ni kweli kabisa ni sawa ushangae Siku moja Mwigulu anasema yeye ni waziri wa Afya..

Watu si mtajiuliza kwanini ajitangaze yeye ni waziri wa Afya wakati Wizara Ina mtu..

So lazma Kwanza tupewe barua ya utenguzi au ya Uhamisho wa mawaziri mdo tutangaziwe mwigulu kahamishwa wizara ya afya..
Afu kinachofuata huwa ni Uapisho..

Kiprotokali kwanza huwa ni Tangazo la kifo baada ya hapo ndo katiba itampa uhalali wa kuchukua madaraka na uhalali wake..
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Lazima watanagaze msiba kwanza hata kama anaapishwa wakati huo huo.

Imetoka Botswana amefariki rais makamu anatangaza kifo chake within few hours anaapishwa.
Yeah ni lazima atangaze kwanza vinginevyo tutamuona Ni mfanya mapinduzi na anafanya makosa ya Uhaini
 
Hii ya kutangaza kifo baada ya kuapishwa siyo kweli na hauko sawa. Angesema kuwa alitakiwa kuapishwa hours baada ya kifo na siyo siku mbili baadaye.

Wakuu wa usalama kuwa in control for the whole period inaonyesha ni jinsi gani katiba yetu ilivyo na mapungufu. Halafu huyo huyo Zitto yuko busy kuihalalisha kwa kusupport juhudi. Seriously...!!?
Ni kivipi wakuu wa vyombo vya usalama walikuwa in control ilhali katiba iko wazi kabisa kuhusu hilo suala na makamu wa Rais alikuwepo ingawa hakuwepo kwenye chumba alichokuwa amelazwa mgonjwa?
 
Nakumbuka miaka ile ya 2008 hadi wanafunzi wanatoroka vipindi kwenda kumtazama Zitto akichangia hoja bungeni.

Leo hii sioni mtu wa kutoka chumbani kwenda sebuleni kwake kumtazama Zitto akiongea labda akina Nondo na Shaibu.

Flop of the decade.
 
KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Dr Samia alipaswa Kutangaza Kifo Cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa

Zitto amesema kitendo Cha kuwafanya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama kuwa ndio Watoa Taarifa ni Cha hatari Sana

Hili ni jambo linapaswa kuwa somo kwetu na kuyaweka mambo ya mabadilishano ya Madaraka " Power Transfer" kuwa ya Kisheria , amesisitiza Kabwe

Source: Jambo TV
Kuna shida mahali...yaani utamtangaze Rais mwingine naona ulikuwa unataka mama apewe kesi ya kupindua nchi..
Kama mtu ukisoma sana unakuwa hiviii KIFKRA... mi staki tenA
 
Zitto Mjinga.Kuapisha raisi mpya wakati mwingine bado yuko madarakani ni uhaini

Pia ni ujinga utawaambiaje wananchi sababu ya kumuapisha raisi mpya wakati haieleweki huyo wa zamani yuko wapi

Zitto ujinga umemjaa
Huyo jamaa anajifanyaga anajua kila kitu,kumbe mbwiga tu.
Tulimkaribisha mjini hapa.
 
KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Dr Samia alipaswa Kutangaza Kifo Cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa

Zitto amesema kitendo Cha kuwafanya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama kuwa ndio Watoa Taarifa ni Cha hatari Sana

Hili ni jambo linapaswa kuwa somo kwetu na kuyaweka mambo ya mabadilishano ya Madaraka " Power Transfer" kuwa ya Kisheria , amesisitiza Kabwe

Source: Jambo TV
Ataapishwaje wakati nafasi ya Uraisi haijatangazwa kama ipo wazi
 
Back
Top Bottom