Zitto Kabwe: Ni muda muafaka sasa Baraza la Mawaziri kuitumia ibara ya 37(2) ya Katiba

Umeona mengi
Iko sawa kabisa, vizazi vya digital ni shida, jiulize kwa miaka isiyozidi 60 ya Uhuru Taifa lina km za lami zisizopungua 18,000 nchi nzima, Luna Vyuo vikuu vya binafsi na serikali visivyopungua 20, kuna Hosiptali za Rufaa zisizopungu 5, kuna idadi ya MDs wasiopungua 10,000 kuna Wanasheria wenye shahada wasiopungua 25,000 kuna Wasomi wenye PhD wasiopungua 3, 000 kuna zahanati na vituo vya Afya kila Kata kote nchini n. k. Mwaka 1961 tunapata Uhuru toka kwa Wakoloni waliotutwala kwa miaka isiyopungua 70, walituacha na lami km 1,700 , MDs 2, mwanasheria 1, shule za Sekondari 7, PhD hakuna, na mengine kadha wa kadha yalikuwa chini kupindukia, sasa leo mtu mzima anabeza hatua hizi, je alitaka tuwe hatua gani? Kwanini ajilinganishe na China, ikumbukwe China wakati inapata Uhuru wake ilikuwa imefikia hatua za kurusha set light angani. Sasa utajilinganishaje? Tunakwenda kwa kasi ya Km 150 hr. Na Gari yenye uwezo wa km 180 kwa hr.
 
Hivi ZZK kaandika haya labda kuna inside story kaipata toka jikoni ndio maana kaandika hivi? Sitoshangaa kuanzia kesho akitakiwa kwenda kuripoti kituo Kikuuu cha Polisi walah!!
Ngoja tuone!
 
Zitto ndio mwanasiasa pekee aliebakia Tanzania,mwenye uelewa,mwenye "vision" ya kuipeleka hii nchi katika hali ya maisha bora kwa watanzania wote,..

Mkuu unajua kuwa Tanzania ni nchi ya 153 katika nchi 157 ya wananchi wake wanaishi katika maisha ya dhiki...Hlafu ati unakuta watu wanahama vyama kwenda kuunga mkono maendeleo yanayoletwa na CCM,CCM imetawala zaidi ya moaka 50 hapa ndipo walipotufikisha

Nchi ya kwanza kwa maisha bora ni Finland
These are the 10 least happiest countries in 2018: Nchi 10 zisizo na furaha duniani
  1. Malawi
  2. Haiti
  3. Liberia
  4. Syria
  5. Rwanda
  6. Yemen
  7. Tanzania
  8. South Sudan
  9. Central African Republic
  10. Burundi
Ina maana mkuu unataka kusema hata Congo kwa kina Sishekedi wanatuzidi?
 
Watoto waliozaliwa Baada ya Nyerere ndio wanazungumzia 'kupata maendeleo'
Sie tuliokuwepo kitambo Na tunajua definition ya Maendeleo tunajua Maendeleo Ni Safari Na hakuna Hata Taifa Moja limefika Mwisho wa hiyo Safari Na Sie hatujafikia Mwisho wa hiyo Safari Ila tumepiga hatua Alhamdulillah

Kutoka kushangaa Mwanafunzi anaekwenda Shule kavaa viatu mpaka Leo tunashangaa aseivaa viatu ,

tulikuwa tunashangaa Mtu Mwenye simu ya Mkononi mpaka Leo tunamshamgaa asie Na Simu ya Mkonon
kutoka kushangaa anaefaulu Darasa la Saba mpaka Leo tunashangaa anaefeli,

kutoka kumshangaa anaemkosoa Rais mpaka Leo tunamshamgaa asiemkosoa Rais
Maendeleo yapo Sana Sana unless otherwise umezaliwa hivi karibuni
Sema kuna mabadiliko na sio maendeleo...mabadiliko sio necessarily maendeleo
 
Si juzi usiku mlisema mnasitisha shuguli za uokoaji kwa sababu waliobakiwa wote wameshakufa?

Na magogoni wakanyamaza kimya.

Leo nasikia kaokolewa mtu yupo hai
Unadhani tangia juzi wamekufa wangapi kwa sababu ya upumbavu wenu?

Aisee baraza liwakilishe kwa jaji mkuu haraka sana na jaji ateua madaktai
NAKUUNGA MKONO KABISA MKUU, zitto ako sawa kabisa
 
Back
Top Bottom