Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,719
- 1,440
Hivi ni kweli Mh. Zitto Kabwe anatembelea gari aina ya Hammer ?
Kama ni kweli basi ni hatari sana kwenye Jamii hii ya Watanzania amabayo tunamtukana JK kwa kujali zaidi maslahi ya familia yake na maswaiba wake.