Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

Status
Not open for further replies.
Tuliza munkari kaka mambo yanakuja

hakuna lolote lile nalitarajia toka kwa zitto. nafahamu fika taratibu za kufuatilia pesa uswizi na mtu binafsi wala asikuaminishe kuwa eti anajua nani anamiliki pesa uswisi. kwanzaniambie kuna kesi ngapi mahakama za tanzania na zile za uswisi zimefunguliwa kwa wahujumu uchumi, kukwepa kodi au kusafirisha pesa haramu? je tanzania tuna sheria yoyote tuliyoingia mkataba na uswizi namna ya kuwabana wanoingiza pesa uswisi wakiwa ni raia wa tanzania.? ukweli ni kuwa hilo hatuna?
 
ndugu ruttashobolwa naona unajilazimisha kujitoa ufahamu kwa nguvu...

Unajaribu kupaka upepo rangi. Ndugu shtuka mapema!...

Double agent wa kisiasa have failed on a mission miserably. Kama ilivyo kwa all double agents huwa mwisho wao ni lazima wafanyiwe elimination. Huyu unajaribu kumtetea mithili ya kupaka rangi upepo hana thamani tena kwa mabwana zake. He is finished kwa hiyo wanam-maliza sasa, i just hope waishie kum-maliza kisiasa na sio vinginevyo.

Pole yake, alishaonywa lakini

na kuhakishia zitto akiongea mtainamisha vichwa kama umeelewa hiyo statement ya kamati nadhani utaelewa ninacho zungumzia.

Zitto kwenye hili ana pambana na kikosi kikubwa kuanzia chadema na baadhi ya wana ccm.

Hivi kama una kumbuka kwenye hili sakata ni watu wangapi bungeni walisema kuna watu wameficha pesa nje?

Warema anajaribu kuwachezea akili kwa kusema zitto ni muongo hili kufunika hili swala.

Bado nina imani kubwa na zitto kwenye hili sakata.
 
Last edited by a moderator:
Wana jf msisahau kuwa kwenye pambano la kisheria ili ushinde lazima umprovoke opponenent wako. Na ndicho kinachotokea kati ya zito na werema ambaye anapractice uwakili wake kwa zito.
Msikimbilie kuhukumu na kumwona zito zuzu. Ana ushahidi ambao anataka kujiridhisha kwanza kama unatosha then atauleta kwenu (hathira) ili muhukumu (pilato style).
Nina uhakika zito anayo majina na kila kinachotakiwa ila wakati haujawadia na hao wakina lukuvi wanajitahidi kumwudhi ili aseme but ninamwamini hatosema hata kwa kung'olewa kucha!
Keep it up zito usibadili msimamo kwa viapo vya vitisho kwani tunakuamini kuwa mtetezi wa wanyonge kwa dhati!
Na kwa cdm msikubali kufarakanishwa na kina dr. Kisomoless (lukuvi) na wengine wa aina yake. Tumieni busara na hekima kufanya maamuzi.
 
Hakika mnafiki hajifichi kila siku tunakuimbia hapa kuwa zitto ni mnafiki...

Hayo ya unafiki mnaousema ndani ya chadema ni mengine, what I know ni kwamba tatizo Zitto anautaka uwenyekiti, ndio chanzo cha fitina zote anazopigwa.

Sasa hii issue ya bungeni kuhusu kuwa kuna vigogo wameficha fedha uswis nataka nisimame na serikali katika hili, namuunga mkono Werema na Lukuvi.

Nashukuru pia kwa mara ya kwanza chadema na ccm wameungana katika hili. Maajabu.

Chadema mukimuacha Zitto mnamuogopa.
 
Mkuu anaweza kujitetea kuwa hii listi ilikuwa haifanyiwa authenticity hivyo nikaone nikauke kwanza..... Mimi naona kuna dili linaandaliwa hapa. Haiwezekea mara baada ya AG kusema hivyo wachumia tumbo wooooote wa Lumumba wamekuwa kama walikuwa wamesetiwa kuandika comments za kumgeuka Zitto....

kwa taratibu zilizopo ni mahakama pekee ndiyo inapaswa kwa na hii list na ni confidential mpaka pale wateja wathibitike otherwise watafungua kesi za kuchafuliwa. ndiyo maana hata serikali yenyewe inataka ipewe majina , iwachunguze na ikiona kuna walakini basi taratibu za kisheria zifuate mkondo wake.
 
makubwa, leo mnakageuka ka jamaa kenu? Kazee ka kuunganisha dots...

huyu alikuwa chadema mwanzoni lakini alikimbilia umagambani miaka kadhaa iliyopita.inasemekana anavuta pesa ndefu huko.kwa wazee wa vijisenti.
 
hakuna lolote lile nalitarajia toka kwa zitto. nafahamu fika taratibu za kufuatilia pesa uswizi na mtu binafsi wala asikuaminishe kuwa eti anajua nani anamiliki pesa uswisi. kwanzaniambie kuna kesi ngapi mahakama za tanzania na zile za uswisi zimefunguliwa kwa wahujumu uchumi, kukwepa kodi au kusafirisha pesa haramu? je tanzania tuna sheria yoyote tuliyoingia mkataba na uswizi namna ya kuwabana wanoingiza pesa uswisi wakiwa ni raia wa tanzania.? ukweli ni kuwa hilo hatuna?

Usiamini sana fikra zako
 
Nashangaa?

Ben tushangae lakini tuwe werevu kama nyoka. Mimi narudia tena...na tena na tena INAWEZEKANA KABISA hili ni dili la Zitto na ma-ccm. Wanahaha kutumia mbinu zote ili kumpaisha kwa sababu ameshaporomoka sana. Na ninachoshangaa zaidi ni kwanini mara baada ya AG kutoa maelezo wachumia tumbo wa Lumbumba wamekuwa kama walikuwa wanasubiri order maalumu ili waanze mashambulizi kwa Zitto mtu wao. Tutafakari sana...
 
Hapana!

Kwa mara ya kwanza naanza kuogopa hiki kinachoendelea juu ya Zitto!

Something is very wrong!! Nini kinamtokea Zitto?

Kinachotokea ni ile hadithi ya mtoto aliyekuwa akitishia wazazi wake kila siku, akipiga mayowe.... Jamani eeeeeh njooni mniokoe naliwa na simba! Mara ya kwanza watu wakaenda ku mwokoa walipo fika mtoto akawacheka kwa kuwadanganya watu wazima, akarudia hivyo mara ya pili watu waliposikia mayowe wakakimbia kumwokoa... Akawacheka tena kwa kuwadanganya... Ikafika sehemu watu wakauzoea utani wa mtoto. Siku ya siku ikatokea kweli simba kaja, mtoto kapoga mayowee hakuna msaada hatimaye mauti yakamfika watu wakidhani ni kama kawaida yake kumbe safari hii ilikuwa kweli!

Just thinking loud!
 
Hivi zitto ni mtu wa kutufanya hadi mimi na FaizaFoxy wapumbavu. Hivi anacheza na akili za watanzania?? Chadema fukuza zitto.

He he heee "chadema fukuza zitto" uligangamalia sana sasa umenywea ghafla. Siku zote mchwa ulikaribia kufa hugeuka kumbikumbi.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom