kisiringyo
Member
- Feb 9, 2012
- 89
- 31
Ninaamini hoja ya Zitto kuhusu watanzania walioficha mabilioni ya fedha uswis itakuwa imejadiliwa katika party coccus ya chama.
Leo AG Werema kasema Zitto alisema hana majina wala account za wenye fedha uswis tena kwa kiapo. Kwa maana hii;
Nataka chadema iseme kama hii hoja ya Zitto kama wanaifahamu vizuri.
My take:
Kwa mujibu wa Werema Zitto kadanganya. Ni wakati sasa chadema imfukuze Zitto, na wasipomfukuza tutajua hiki chama kinafuga waongo. Hawezi akadanganya watz kiasi hiki.
Mkuu sixgates umeona jinsi chama makini kinavyoona mbali! Bac vuta subira2 baada ya siku tatu huyu muongo na msaliti atasahaulika kama marehem aliekufa mwaka 1500.