Zitto careful: Possible assassination: Wivu wa kisiasa

Status
Not open for further replies.
Zitto aende ccm wampe uenyekiti, mtu mhuni kabisa asiye na familia ndo maana anakuwa msaliti.hana cha kupoteza hyo. Hatakiwi cdm na wala hata akitoka cdm itadumu. Amuulize kaborou!

kukusudia kuwania Uenyekiti ndo Usaliti? Mmemcheza Mwali wakati Bikra ishavunjwa subirini Bleeding!
 
Zitto anapendwa na kila rika, kila mtu na anapendwa na jamii

uwezo huu na sifa hii hakuna aliyenayo mwingine ndani ya CDM, wivu huu wa kisiasa umefikisha hapa tulipo

kama magufuli na mwakyembe wanavyopendwa na hata wasio wana CCM wakiwamo chadema, Zitto anapendwa na kila mtu anayelitakia mema taifa hili

kazi zake zitadumu, pengo lake litaonekana, uwezo wako utaendelea kuongezeka, ukweli utasimama na jasho lake na historia yake haitafutika si chadema tu hata taifa zima

atasimama na kuunguruma ataongoza taifa hili, hata kama ni miaka kumi ijayo, wakati mijisahau na kushangilia na kupumabzwa kwa uongo mlioaminishwa, Taifa hili litamuhitaji mtu kama zito

hana hasira, hana siasa za ugomvi, bright young star,International figure, supported by everyone kupitia hoja zake

kilichomuondoa ni wivu, ni chukim ni hasira

Leo ulinzi uimarishwe, asije uawa kabla ya kusema lolote

trust me, labda uwe na moyo mgumu mtaujua ukweli

I TRUST ZITTO, we are behind you

CHADEMA MNGENKUWA NA AKILI NDOGO TU, YA KUFIKIRI LOLOTE LA KUMPATA ZITTO KIPINDI HIKI, MNAIUA CHADEMA LIVE, hata kama ccm watafanya kwa niaba ya mbowe

Kama kuna atakaefaidika kwa kuuwawa Zitto kwasasa bas ni CCM. Haihitaji shahada kujua hiko...hivyo zitto uwe makin na hao jamaa maana wako tayar kufanya lolote kufaidika kisiasa...hawana urafiki wa kudumu.. Urafiki n wa kimaslah tu. Muulize mzee wa Monduli atakwambia vizur haya
 
Tatizo la watanzania wengi tunapenda kushabikia mabo hata tusiyoyajua undani wake. Leo hii kusikia Zitto ametolewa uongozi basi imekuwa nongwa. Basi na acha iwe hivyo. Mimi naamini kuwa uongozi wa CDM uko makini na maamuzi yake na wamefanya utafiti wa uhakika mpaka kufikia maamuzi haya. Na sasa utaona watu wengi wanajiuzulu acha waende zao maana kila mtu anahaki ya kufuata chama anachokiona kina sera nzuri. Mnao sema chama cha kichaga mnakosea sana, mimi siamini kwamba CDM ni taasisi ya kichaga. Bila kuwa na uongozi madhubuti CDM isingefika hapa ilipofikia mpaka kuweza kutoa upinzani mkali kwa CCM. Watanzania sisi ni wanafiki na wabinafsi, kwa kuwa wewe unakula unashiba ugali wako basi unafikiria wote mnashiba kama wewe, wapo watu waliokandamizwa na wanakufa masikini sana huko ndugu zetu sasa nani atawafikia hawa watu? Lazima tuwe na taasisi mbadala kama hivi vyama vya upinzani ili tuweze kuwa na macho zaidi lakini mwisho wa siku wote ni kujenga taifa letu.
 
Kina ben hawaonekani posible wapo kwenye zitto excution mission. Mungu amlinde mja wake.
 
Kwa hali ilivyo lazima Usalama wamlinde na wanamlinda, Zitto ni public figure. Madhara yoyote kwake ni hatari kwa usalama wa nchi.
 
Kama kweli Zitto atauawa iwe kwa Risasi, Ajali au Sumu lazima,Lazima,Lazima Mbowe na Genge lake Lazima (Sio hiyari) Mjiandae , kisasi sio Hiyari ni Amri na Lazima itekelezwe Kikamilifu na kwa Wakati!

Wewe vipi mbona mnakuza mambo hivyo? Nani aliyekwambia kwamba CDM ina Risasi za kuua watu ama sumu za kuwapa watu? Kwani wale walikwishapigwa risasi ama kupewa sumu ni CDM ndo waliwapa? Kwa taarifa yako CDM haina jeuri hiyo na wala hawanabunduki za kuua watu isipokuwa risasi zao ni juu ya maendelea ya taifa hili. Kama nyie mnawapaka matope wenzenu yatawarudia wenyewe subirini tu. CDM ni chama cha siasa kama vilivyo vyama vingine kama mtu analeta jeuri ndani ya chama hawezi kufaa kubaki. Nyie mnasema hivyo mbona wake zenu mliowaoa akikusaliti unataka kumwacha kwa nini?
 
Akili za kichaga zinawaza ngono sana ndio maan hamuishi kujipiga Risas kwa Mapenzi, Ww sakata la Wachaga dhidi ya Zitto unafananisha na Masuala ya kindoa? Unajifanya hujui kuwa Watoto wa Chacha Wangwe ni mayatima na mkewe ni Mjane kwa kuwa Mzee wao alitaka kuwania Uenyekiti?
 
Kama kweli Zitto atauawa iwe kwa Risasi, Ajali au Sumu lazima,Lazima,Lazima Mbowe na Genge lake Lazima (Sio hiyari) Mjiandae , kisasi sio Hiyari ni Amri na Lazima itekelezwe Kikamilifu na kwa Wakati!
Unamkumbuka Horace Kolimba?
 
Kama kweli Zitto atauawa iwe kwa Risasi, Ajali au Sumu lazima,Lazima,Lazima Mbowe na Genge lake Lazima (Sio hiyari) Mjiandae , kisasi sio Hiyari ni Amri na Lazima itekelezwe Kikamilifu na kwa Wakati!
aiseee, CCM wamepagawa si mchezo.
 
Unamkumbuka Horace Kolimba?

ulikuwa ushauri wa Mama Anna Mkapa Mchagga ndio maana tunahofia isijirudie kwa Zitto! Unajua Kuwa Zitto kafukuzwa wiki moja tangu apate Ulinzi wa uhakika dhidi ya majaribio na vitisho vya kuuawa? Pengine Asingeimarishiwa Ulinzi asingefukuzwa bali angekufa akiwa Chadema na Kabla fom za kuwania Uenyekiti Chadema hazijaanza kutolewa kama ilivokuwa kwa Ndugu Chacha Wangwe!
 
Tatizo la watanzania wengi tunapenda kushabikia mabo hata tusiyoyajua undani wake. Leo hii kusikia Zitto ametolewa uongozi basi imekuwa nongwa. Basi na acha iwe hivyo. Mimi naamini kuwa uongozi wa CDM uko makini na maamuzi yake na wamefanya utafiti wa uhakika mpaka kufikia maamuzi haya. Na sasa utaona watu wengi wanajiuzulu acha waende zao maana kila mtu anahaki ya kufuata chama anachokiona kina sera nzuri. Mnao sema chama cha kichaga mnakosea sana, mimi siamini kwamba CDM ni taasisi ya kichaga. Bila kuwa na uongozi madhubuti CDM isingefika hapa ilipofikia mpaka kuweza kutoa upinzani mkali kwa CCM. Watanzania sisi ni wanafiki na wabinafsi, kwa kuwa wewe unakula unashiba ugali wako basi unafikiria wote mnashiba kama wewe, wapo watu waliokandamizwa na wanakufa masikini sana huko ndugu zetu sasa nani atawafikia hawa watu? Lazima tuwe na taasisi mbadala kama hivi vyama vya upinzani ili tuweze kuwa na macho zaidi lakini mwisho wa siku wote ni kujenga taifa letu.
Nani ambaye hajui wewe unadhani kwa vile hujui basi kila mtu hajui wengine wanajua A to Z wewe kaa na uzembe wako eti hatujui pole.
 
Hata uende wapi na ufanye nini, Zitto alikuwa kirusi kibaya sana chadema pamoja na kuvujisha siri za chama, amekuwa mstari wa mbele kupanga hnujuma nyingi sana kwa CHADEMA. ZZK amerurisha sana nyuma ukuaji wa chadema na ni kwa sababu y uroho wa fedha na kupewa kamati za bunge. CCM wanafahamu fika jinsi walivyomtumia kabla ya uchaguzi 2010 na baada ya uchaguzi wahimhonga fedha nyingi sana kuhujumu harakati za chama. pesa hizo ndo zilizojenga mitandao ya kina shoza walioshiriki mauaji ya bomu kule Arusha, Mtela, meya Matata, Kisandu na wengineo wengi. kwa minajili hii hata ni katika familia utaweza kuvyumilia kwa sababu ya umaarufu wa kitotito hana lolote zaidi ya kubebwa na mafisadi na alihurumiwa sana kwa muda mrefu na CHAMA. angepata umwenyekitui tulishazika chaema zamani. Yeye ni kama Jipu lililoiva ndani ya chadema NA LINATAKIWA LIONDOLEWE ILI CHADEMA KISIMAME NA KUFANYA KAZI YAKE ya Ukombozi wa kweli na sio unafiki. CCM muwe naye tuu. Vijana imara tupo na tunapambana kwa moyo mmoja kuimarisha CHADEMA yetu na Mungu ni Mwema atasimama imaara kututetea. Mawasiliano anafanya kutumia anga la mwenyezi Mungu ni lazima ajua kwa njia hiyo hiyo Mungu anayeona sirini atatuhabarisha. Makamanda tukae imara na tuendelee kuwaprune wote wa mfano wa Zito, kwani bila ZITO tuna chama imara chenye matumaini ya kweli, ZITO abaki na hao watesi na mafisadi.
 
Pamoja na sifa nzuri alizonazo zzk, anaudhaifu wa bei yake kujulikana na ccm na pia uzalendo mdogo tena wa msimu! .
 
Kama Zitto ni mzuri kiasi hicho, kwanini CCM wasimchukue badala ya kulalamika kuwa kaonewa?

Anacholalamikiwa Zitto kwenye chama chake, ni usaliti tu! Na tumeona mahali wale wanodhaniwa tu kuwa ni wasaliti, wanatiwa kwenye kisima, sasa huyu kavuliwa tu vyeo inakuwa nongwa?!

Kinachouma zaidi ni fedha na muda uliotumika katika kumpandikiza Zitto bila ya mission kufika mwisho!
 
Mie Zitto namwona hana kitu kabisa!! ni wa kiwango cha chini sana sana kama kina Jangala tu!! We ....ana fikia kujibu hoja za maana kwa kusema eti hakuna msemaji wa chama anaemzidiumaarufu!!! Ujinga gani huu! sijawahi kusikia hata siku moja mtu mwenye akili akiongea pumba hivi!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom