Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

wale vijana wake wa umoja wa vijana ccm waliomuandalia mdahalo PALE kempisk WAKO WAPI????? ??
Nimeona Zitto amakuja na gear yake ya kuchanganya watu na hela za escrow lakini watu wenye akili zao tulishajua kuwa hii ni danganya toto maana ni kawaida yake kutumiwa atapika kelele mwishowe atakaa kimya kama malengo yake yatatimia

Nia yake anataka hii hoja aibebe yeye mweyewe arafu awapoteze watu
Zitto ni Kama Pasco kutumiwa pindi wanapoitajika
 
Last edited by a moderator:
Binafsi hoja hii ilitakiwa iwe general but yet pointed; kwa maana ya kwamba ingehusu utoroshwaji wa fedha zetu na kuwekwa kwenye mabenki bila kuingiza mambo ya Meremeta. Kwa kuingiza Meremeta hii hoja iko DOA. Hoja ya Meremeta inatakiwa iwe peke yake kama ambavyo ilishajaribiwa na Slaa, na Mkono vile vile.

Suala la fedha haramu na kuficha fedha nje ya nchi ilitakiwa - naamini - iwe speculative na hasa kama inataka kwenda kutafuta ukweli. Kwa kudai kuwa tayari ushahidi wa mambo haya upo mikononi mwa mtu binafsi (Zitto) ni rahisi sana kwa serikali kumwambia kuwa ushahidi alionao aipate serikali ili "iufanyie kazi". Akisema hawezi kuipa serikali na badala yake ataipa kamati ya Bunge itakuwaje kama Bunge halitaunda kamati hiyo? Jibu ni kuwa hatimaye majina haya yatawekwa hadharani na labda kulazimisha mkono wa serikali.

Kama suala la EPA ni mfano ni wazi kuwa miaka mitano baadaye tutakuwa tunazungumzia hili hili la fedha zilizotorosha. Suala la Meremeta na EPA yametokea karibu miaka saba nyuma!

Binafsi naamini we have to force our law enforcement agencies to perform their duties na hili linaanzia na DPP.

Lakini kutaka kuchunguza tu jamani tufike mahali tuchoke. Tayari tunajua mengi sana kuhusu ufisadi; tunajua zaidi ili tufanye nini? Ni kitu gani ambacho kwa kweli hatukijui. Nadhani umefika wakati tutake uwajibikaji zaidi na watu wafungwe na kama hawafungwi serikali iondolewe madarakani.

Hapa ndo ulipaswa kuanzia ya kuwa tunajua mangapi kuhusu ufisadi na nini kiliwahi kufanyika angalau kupunguza tu huo ufisadi, inakuaje suala la pesa uswisi ni jambo jipya kwa watz wakati ni juzi kati tu chenge aliacha uwaziri baada ya kufahamika ana vijisenti new jesey, hatimaye akawa mwenyekiti wa kamati ya uandishi wa katiba mpya ya watz, kimsingi zitto ni tapeli la kisiasa ambaye anaelewa akili za wa bongo zenye memory ndogo sana, kwani issue ni uswisi ktk ufisadi? waziri akiiba hela za wizara akajenga ghorofa yake arusha na hii inaitwa ufisadi? If yes mangapi yamefanyika na hatua zipi zimewahi kuchukuliwa? Kuna mengi ambayo yanahitaji kupewa priority na sio huu upuuzi wa uswisi kwa sasa
 
honorable speaker.
Hoja binafsi!!

Kunafedha za watanzania zimefichwa nje ya nchi,Mhusika walipomuuliza ni kiasi gani alisema ni mabilioni!,akaomba apewe pesa aweze kwenda uswiz akafuate majina na akaaidi akirudi atawataja bila woga,aliporudi wakamwambia ataje majina ya waliokwapua pesa,tazama, chenga nyingi na kimya kikuu,walipomwambia kama anaogopa ampe (mmojamwenza) awataje adharani akakataa kabisa!,kumbuka kiukweli alisema kweli kabisa kwa wizi uliofanyika wa mabion bila huruma pia yeye nae akaomba pesa kwa ajili ya kwenda kufatilia wizi huo, aliporudi kimyaa!!!na wala hakutaka kulizungumzia swala hilo!! nauli,malazi amelitumia fedha za wanyonge walipa kodi.

Sanjari na hilo alikuwa na maneno yenye kushangaza na kukatisha tamaa sana.

Kwani alikuja na ajenda na slogan mpya tofauti tofauti zenye ukakasi Ambayo watanzania hawakutegemea alipoulizwa kuhusu majina alisema

"msimwamini mwanasiasa ",mara nyingine husemaeti "siasa ni mchezo mchafu".

Kiukweli huwezi kujiita mzalendo hilhali huna uzalendo ndani ya moyo, bila huruma na kutokuwa na upendo wa dhati alitoa sababu hafifu na zisizo na mashiko alisema.

“Siko tayari kutaja kwa sasa. Narudia tena kwa sasa hayo majina maana naweza kusababisha Wahusika wahukumiwe na umma bila kupitia utaratibu uliowekwa na sheria zetu hapa nchini,” alisema MM.

Kwa sasa pia anatuletea kamchezo kale kale ka mwaka ule,huyu jamaa ni mnafki sana hamepoteza sifa ya kuwa kiongozi wa UMMA kwa kunena bila kutekeleza.viongozi kama hawa wanafki na wazandiki si hatari katika ustawi wa Taifa letu.
 
nahisi ni Zito Kabwe ndio alikuwa akizungumzia wazi wazi ishu ya Dola za Uswizi, etc. hivi alifikia wapi vile....
au ndio upepo unapita tu....
sasa tuna upepo wa Escrow na PAC.... ni upepo TU.. utapita ....:juggle:
 
Mabilioni ya watu yanawahusu nini achene wivu wa kijinga, kodi zenyewe hamlipi nyie madalali wa vyumba sinza halafu mnapigia kelele eti Mabilioni ya Uswizi
 
Back
Top Bottom