Zitto atoa mwongozo wa kauli

jcb

JF-Expert Member
Jul 6, 2010
280
66
Mbunge wa Kigoma kaskazini Mh. Zito amemweleza Spika awasisitizie mawaziri wapungeze salamu na kuitana dada, mke wangu kaka yangu na pia waeleze maslahi binafsi kwenye mambo wanayo changia kama yapo........ Hebu tuone Spika ata fanyaje
 
Nimemsoma mwanzo mwisho na spika amekubaliana nae. Taratibu watashikishwa adabu ndani ya mjengo.
 
Hawa watu hawako siriasi!!!

Mkuu kwa hilo nakubaliana na wewe maana Waziri Nyalando ameanza na salamu za valentine kwa mke wake na watoto badala yakujibu swali la msingi.
Kwa Nchi yenye matatizo kama yetu nadhani tuna hitaji watu wakutekeleza majukumu yao kwa wakati na kwa uadilifu angalo tupige hatua mbele.
 
Dakika 4 Salaam na shukrani na pongezi then dahika 1 kujibu hoja/swali. Halafu mtu anagongewa kengele anakaa. Inaboha sana hii.
Kwa nchi kama Tanzania tunamambo mengi ya kuongelea na kutafuta mhafaka sio kupongezana na kusalimiana muda wote. Kwani hawana simu au magazeti na radio watume pongezi na salaam zao huko.
 
Mkuu kwa hilo nakubaliana na wewe maana Waziri Nyalando ameanza na salamu za valentine kwa mke wake na watoto badala yakujibu swali la msingi.
Kwa Nchi yenye matatizo kama yetu nadhani tuna hitaji watu wakutekeleza majukumu yao kwa wakati na kwa uadilifu angalo tupige hatua mbele.

How many times shall we say that CCM MPs are NOT SERIOUS???

Watu wanaona kila kitu kinachofanywa na Wabunge wa CCM. Ni uzuzu na uzezeta mtupu. Hawako serious ka maana ya kuwa serious haswa. Ndiyo maana MAMBO YANAENDA NDIVO SIVYO. Mifano HAI NI MATATIZO YA UMEME NA MATOKEO MABAOVU YA KIDATO CHA IV 2010!

Bunge la viwango na majungu ya spika makinda hakuna kasi zaidi ya kuharibu hoja za washindani kama chadema. Impeachment ya spika makinda inatakiwa jamani.
 
Spika makinda angalau angekuwa amesoma mambo yanayoonekana kny hiyo avatar yangu labda angekuwa anawasikiliza wabunge hoja zao na kuwapa nafasi siyo kukurupuka tu kwamba we kaa chini kama watoto wakati hawa waheshimiwa wametumwa na wananchi
 
Hongera Zitto kwa kuliona hilo, yaani usingesema tabia ingeshamiri na kuwa mazoea kabisa. Saizi watakuwa wanajiuliza kweli hawa jamaa wapo njiani kuikomboa nchi!
 
How many times shall we say that CCM MPs are NOT SERIOUS???

Watu wanaona kila kitu kinachofanywa na Wabunge wa CCM. Ni uzuzu na uzezeta mtupu. Hawako serious ka maana ya kuwa serious haswa. Ndiyo maana MAMBO YANAENDA NDIVO SIVYO. Mifano HAI NI MATATIZO YA UMEME NA MATOKEO MABAOVU YA KIDATO CHA IV 2010!

Wamevamiwa na kutekwa akili na majini ya sheikh ambayo sisiemu wameridhia kwamba yamlinde jk, chama chake na serikali yake!!!!!!! Majini hufanya watu kuwa mazezeta na mazuzu ili kuwatawala yatakavyo!!!!!!!!! Wabunge wa sisiemu wewe waangalie kwenye hoja nyeti kwa uhai wa taifa hili-utashangaa wanatetea ufisadi mradi tu CDM wanapinga jambo hilo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! UUUUUUUUUUUUUwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Taifa hili ilnaongozwa na majini kama hamkuwa mnajua-wewe angalia nchi ambayo viongozi wake wa ngazi ya juu wanakiri hadharani kukubali kulindwa na majini badala ya Mungu; ndiyo maana laana juu ya taifa hili ni nzito sana kwa sababu ya makafara mengi sana ambayo viongozi wake wa juu wanatoa kila kukicha-makafara ni pamoja na damu za watanzania kwa maelfu yao kama vile MV Bukoba, treni Dodoma, hiyo ya jana kwa first lady accident!!!!!!!!!!!!!!!!!Laana ikangukia taifa ndiyo utaona haya tunayoona kwamba hata viongozi usiowadhani wanaheuka kuwa hivi muonavyo. Sasa hivi sisiemu imeamua kucheza rafu kila jambo lakini kwa lugha laini ya utawala wa sheria !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Kwa sababu wanaongozw na shetani baba wa uongo!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu kwa hilo nakubaliana na wewe maana Waziri Nyalando ameanza na salamu za valentine kwa mke wake na watoto badala yakujibu swali la msingi.
Kwa Nchi yenye matatizo kama yetu nadhani tuna hitaji watu wakutekeleza majukumu yao kwa wakati na kwa uadilifu angalo tupige hatua mbele.

Mpuuzi sana huyu, anatuma salamu za valentine kwa gharama zetu wa Watanganyika. Kwanini asingeenda kununua kadi akatumia? Ama akenda redio Mawingu (Clouuuudsssss efu M)
 
Mpuuzi sana huyu, anatuma salamu za valentine kwa gharama zetu wa Watanganyika. Kwanini asingeenda kununua kadi akatumia? Ama akenda redio Mawingu (Clouuuudsssss efu M)

Huyu Nyalandu si ndiye alisema watanzania wengi wanatumia Simu kwa mawasiliona ya mambo ya mapenzi? Sasa yeye anatumia nafasi ya kujibu swali bungeni kutuma salama za mapenzi kwa mke wake. Ana matatizo huyu
 
Hivi hata ile issue ya kutambulisha wageni ni ya Lazima???, au kutoa matangazo ?, kwani hawawezi kutoa matangazo kwenye Notice Board..., This total wastage of Tax Payers Money....
 
siasa za tanzania bwana,jamaa wanafikilia kusalimiana tu baada ya kuanza kuongelea maswala ya msingi
ila tutafika tu,kama misri wameweza kwanini sisi tushindwe?
 
Mkuu kwa hilo nakubaliana na wewe maana Waziri Nyalando ameanza na salamu za valentine kwa mke wake na watoto badala yakujibu swali la msingi.
Kwa Nchi yenye matatizo kama yetu nadhani tuna hitaji watu wakutekeleza majukumu yao kwa wakati na kwa uadilifu angalo tupige hatua mbele.
Atii!... Wanatumiana salam za valentine bungeni!???... Upepo uliotekea Tunisia & Egypt utafika Tz soon than our expectations!
 
Unajua hawa watu wamekosa akili kabisa. Dawa yao ni kuwazomea na kuwatema mate tuwaonapo. Hii itafanya waonekane wamedharauliwa. Hana kitu wanachokisema. Kweli mimi nimechoshwa na mijitu hii.
 
Mliwachagua wasanii wa kijani na njano mnategemea nini? Mipasho tu mtaambulia.
 
Back
Top Bottom