Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,034
- 1,003
Zitto nenda mwenzio amekualika huko utuachie chama salama
Ndio maana mkoloni alikuwa anawatumia kama manamba tu. Namaanisha wasomi wa ziwa Tanganyika.
Kumbe umetoka kanisani, je kuna kitu kizuri chaweza kutoka nazareti?...watakuja kukutukana wengine. Mi nimetoka kanisani si mda..!
Pumbufff we..
Naafiki. wanadhani zitto akigombea nccr atagawa kura za vijana wa chadema hivyo wao watashinda kiurahisi. Cdm inabidi imhandle huyo dogo kama nyoka ili hili likitokea hata july 2015 wao wasiyumbe.Mbinu ya CCM hiyo!
si atagombea kupitia chadema?
Naona Msandu kaanza kazi vizuri ya propaganda.
Sio mbaya.kwangu mimi mtu pekee ambaye naona kwamba ana uchungu na mali za watanzania na watanzania wenyewe ni Zitto,so namuona kama mtu mwenye nia njema na nchi hii kwa mujibu wa historia yake katika nchi hii.
Na kama akipewa nafasi huko walikomuita,na CCM ikakosea kumpata mtu safi,basi anaweza kuchukua nchi kwa sababu sioni mtu wa kuweza kumshindanisha naye ndani ya vyama vingine,ukiiacha CCM lakini endapo nayo itampata mtu safi na makini kama John Pombe Magufuli basi safari yake itakuwa imeishia hapo.
Tunamtakia kila la kheri.
Kama mtu anatoka chama kingeni na kwenda kugombea NCCR inamaanish NCCR hawana watu wenye uwezo....na kina paswa kufutwa...maana hakina malengo yoyote ya maana