Infinite_Kiumeni
JF-Expert Member
- Jan 23, 2023
- 382
- 661
Kumwambia mwanamke awe wako pekee mapema ni kama kumlazimisha penzi. Utapoteza mvuto na thamani ya penzi itakua ni ndogo. Hata wewe, mwanamke akikufata moja kwa moja anataka ulale nae, hautomheshimu kama yule mwanamke uliyechukua muda kumtongoza.
Sote tuna hamu ya kuhangaikia kitu japo tunaweza tusiseme, lakini chochote tunachokipata kiurahisi hatukithamini.
Sasa ili upate mahusiano yenye uthamani zingatia haya.
Usiwe king’ang’anizi.
Wanawake wana malalamiko mengi kwenye mahusiano.
Lakini kitu kikubwa wasichovutiwa nacho ni mwanaume king’ang’anizi.
Utaonekana king’ang’anizi pale ambapo umejiwekeza kwenye mahusiano kuliko mwanamke.
Kuna muda mwanamke atajiweka mbali nawe kimakusudi. Tambua anakupima kama we ni king’ang’anizi.
Epuka tabia ya kumpigia simu au kutuma sms nyingi kutaka mahusiano na mwanamke.
Mahusiano ni idara ya mwanamke, mwache ye ndo awe king’ang’anizi wa mahusiano.
Mpe muda atake mwenyewe muwe kwenye mahusiano.
Kwa sisi wanaume, ni rahisi.
Tukiona mwanamke, tunaamua haraka tunataka kuwa naye au la.
Lakini wanawake inategemea na anavyojisikia kwa muda huo.
Mwanamke anahitaji muda kumjua mwanaume wake.
Kama ni sahihi kwa ajili ya kutengeneza naye familia.
Wekeza taratibu kwenye mahusiano.
Wakati mnaanza, mtakua mnawasiliana kidogo. Lakini kadri unavyoonesha yupo tayari kuwa nawe, ongeza ukaribu.
Kama mlikua mnakutana mara moja kwa wiki, unaweza kutana naye mara mbili kwa wiki.
Kama ulikua humtafuti mpaka wiki iishe, unaweza kumtafuta kati kati ya wiki. Lakini kuwa makini usiingie kwenye ung’ang’anizi. Ila ongeza muda unaotumia pamoja naye taratibu.
Kwenye kukutana kwenu usiwazie kuongea naye suala la kutaka kuwa naye kwenye mahusiano. Muda wako wekeza kwenye, kutoka naye, kufurahi naye na kufanya naye mapenzi.
Unapojipa muda maana yake mahusiano yenu yatakua yenyewe bila kulazimishana.