Zinahitajika nafasi za kazi ya hotel

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
15,832
22,940
Mwenye kujua/kufahamu popote iwe hapa Dar es salaam mahali ambapo kuna kazi za Hotel kwa nafasi za Front office,Marketing,Hotel Supervisor,Hotel Manager na House keeping supervisor,nina watu wanaohitaji hizo kazi wenye ujuzi usiopungua miaka 10,unaweza kuni pm au kuwasiliana na mimi kwa namba 0655-880429.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom