Zimwi alilonitumia limebadirika kuwa malaika!!

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,215
56,855
Akili zao wanazijua wenyewe!, kamshawishi rafiki yake anitege nami babu rambaramba nikategeka!,nae alietumwa kadata na penzi limemkolea baada yakukutana na huba toka anga za unyamwezini!.

Alietuma papaso la wivu lamtafuna,ule utamu wangu aliouona uchungu sahivi anautaka!. Nami ndo kwanza nimezama kwenye huba la zimwi lililotumwa sasahivi ndio kama malaika wangu!.

Penzi limeiva kama chungwa lililojazwa na maji matamu isiyoelezeka!.

Nimwambie nini asifanye?

Sio kama yule mwanamke gaidi hasidi mbishi mwenye kila aina ya ukaidi!..

Hapo awali nilikuwa naamshwa kwa kuvutwa vidole vya miguuni mpk vikawa virefu!, sahivi naamshwa kwa kuitwa na sauti nyororo nisipoitwa laaziz basi nitaitwa ya habib! Nami humsalimu "Asalaam alyeikum ya habib".

Sasa nipo kwenye penzi la mahanjumati,harua na tashtwitwi zote za pwani...
😉😁

FB_IMG_1705683109177.jpg

Hatimae sumu imegeuka kuwa juece
 
View attachment 2924493
zimwi likujualo halikuli likakwisha
 
Back
Top Bottom