Zimbabwe vs Brazil

half time brazil 2 zimbabwe 0,wafungaji ni M. Bastos
goal.gif
dk 41, dk 44 Robinho.
 
Half Time hapa dah wakubwa wameonesha uwezo wao...Zim walianza vizuri sana mwanzoni
Brazil 2-0 Zim
 
Zimbabwe wana mshambuliaji ana kasi sana wangeliingia kwenye 18 nadhani mambo yangelikuwa mazuri
 
2nd Half on the way hapa... Sioni dalili ya ZIm kuchomoa ..dak ya 56
 
Mpira umekwisha hapa ZIm wamechezea kichapo mbele ya JONGWE na baraza lake la Mawaziri...Mwenzio akinyolewa na wewe.........lets wait june 7
 
Back
Top Bottom