Zilipendwa kuhusu Mikasa ya majambazi miaka ya nyuma

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,741
Miaka kipindi Cha mwinyi na mkapa ujambazi ulikuwa wa ubabe sana.

Majambazi wakitaka kukuvamia wanakutumia barua ujiandae tena barua utaipata mlangoni mwako au shirika la posta.

Idadi ya polisi kukabiri majambazi ilikuwa ndogo ukilinganisha na Sasa usalama ni mkubwa.

Kwa wale wa dar watakumbuka komando yoso mpaka kujiwekea utawala wao kwenye maeneo Yao.
Kuna story nyingi Kila mkoa na majambazi waliovuma na wengine kwa Sasa washafariki.

Ili la kutumiwa salamu ya ujiandae wanakuja liliwapa sana tabu wahusika wanaotakiwa kuvamiwa maana hata wakiripoti polisi ilikuwa kama kazi Bure.
 
Wakati niko kijijini ndani ndani habari iliokua inatamba ni mapambano ya polisi na majambazi ubungo
 
Back
Top Bottom