FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 93,211
- 109,786
Mimi nikisomaga hizi Story zako huwa sipendi sana kuendelea kwa kuwa hujikuta nabubujikwa na Machozi as I can't undue the Past!
Nikikuona na Kaka Yangu Ferej Tamim naona kweli tumezeeka
Tamim, Ammi yangu.
Hali yake si nzuri sana kiafya. Dua zenu muhimu.