Munru
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 1,340
- 664
salaam wana jamvi,
hebu tujikumbushe takribani miaka mitano ivi nyuma, kulikuwa na kampeni kubwa naza nguvu sana za kupinga maambuziki mapya ya VVU,
katika kampeni izo ilikuwa ikitangazwa katika kila watanzania 10 basi wawili mpaka wanne ni waathirika.
ilikuwa inatisha kweli kweli,
ila siku za karibuni , hatusikii tena takwimu za namna hii,
swali : jana takwimu hizi zilikuwa zinapikwa ??
je maambukizi kweli yanashuka ???