mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,193
- 6,381
ok, nlidhani vinajulikana publiclysecret service means kila kitu ni secret mkuu
ok, nlidhani vinajulikana publiclysecret service means kila kitu ni secret mkuu
Kama ipo si kwa Tanzania.Hivi kunauwezekano kufundishwa skills za kijeshi alafu unakua tu raia wa kawaida unaendelea na mambo yako
Nyota ndio zipi hapo-Kuanzia kwa Luteni wa Pili
Wale wanaovaa mfano wa saa wanasimama wap-Maafisa Wateule
MP anasimama wap kicheo-MP sio cheo,mwenye cheo chochote anaweza kuwa MP.
Jamaa amenikumbusha mbali (mwaka 1994 nikiwa form 5 Tabora Boys) hata hivyo nilikaa term moja nikasepa. Msoto wa jeshi wataka moyo. MP siyo cheo bali ina maana "Military Police" yaani Mjeshi ambaye ni polisi. True - Askari mwenye cheo chochote aweza kuwa MP.
Jamaa amejitahidi kuonesha vyeo vya jeshi la TZ ila amekosea kidogo. Kabla ya cheo cha Jenerali kuna cheo cha Major Jenerali.
Vyeo vya juu zaidi ya jenerali ni:
1. Field Marshal - Mtaalam wa vita ya nchi kavu (mfano ni Fidel Castro)
2. Admiral - Vita ya majini
3. Air Marshal - Vita ya anga.
Mleta mada umenifumbua macho, ila kuna huyu mtu anaitwa COMMANDO/COMMANDOR/COMMANDER (sijui lipi sahihi), yeye anahusika na nini jeshini na yupo cheo kipi?
Kwenu wadau kwa msaada.
Askar wa rank yoyote anaweza kua commando cz ukomandoo ni course maalum kwa ajili ya maaskar wanaohitajika katika special operations zenye demand kubwa na risk kubwa ambapo askar wa kawaida hawez kuifikia performance yake.. Na commander au kwa kiswahili kamanda ni afisa tu yoyote wa jeshi anaweza kua kuanzia Luteni na kuendelea.
Vp kuhusu kiwango cha elimu na cheo atakachopewa m2 aliyemaliza mafunzo ya uofsa, mfano mwenye degree, diploma, masters etc
#buchanagande kuna uzi upo humu hebu tafuta utapata majibu yaliyo kamilika asante.
ll-forces ranks | Name | Collar insignia |
---|---|---|
General | Jenerali | malizia |
Lieutenant General | Luteni Jenerali | malizia |
Major General | Meja Jenerali | malizia |
Brigadier General | Brigedia Jenerali | malizia |
Colonel | Kanali | ngao na nyota 2 - kofia wekundu |
Lieutenant Colonel | Luteni Kanali | ngao na nyota moja |
Major | Meja | ngao megani |
Captain | Kapteni | nyita 3 kila bega |
First Lieutenant | Luteni | nyota mbili kila bega |
Second Lieutenant | Luteni Usu kanyota kamoja kila bega |
All-forces ranks | Name | Collar insignia |
---|---|---|
Warant Officer Class I | Afisa Mteule Daraja la Kwanza | ngao mkononi |
Warant Officer Class II | Afisa Mteule Daraja la Pili | mwenge mkononi |
Staff Sergeant | Sajinitaji V3 na mwenge wa uhuru | |
Sergeant | Sajini V 3 | |
Corporal | Koplo - V2 | |
Lance Corporal | Koplo Usu - V | |
tayari mkuuAhsante mkuu, nimetafuta jf lakini sijafanikiwa
tayari mkuu