Hayajamani
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 883
- 269
Nilishawahi kuwasaidia wawili but needs private & confidentiality, ni ..mkuno, nipe address basi kwa msaada zaidi
Hongera sana.Yah, its tru,nimekwenda hosptal jbu n kwamba tayar ktu kimenasa,sikua nafahamu bse ths is my first time.
Ahsante sana.Hongera sana...
Santeeee.hongera mama kijacho
aisee madaktari wanafaidi...
sa huyu akienda hospitali lazima dokta ashike chuchu...LOL
Wewe mkali ndugu! Kwani ulivyo mvimbisha shemeji ulijisikiaje?Aminia mkuu MziziMkavu, sasa fanya hisani: tumiminie jamvini dalili za mwanaume aliyetungisha mimba (ambaye amempa mwanamke mimba)