Ziara yangu ndani ya MSITU WA PANDE ilivyokuwa leo!

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Wadau ndo nimerudi toka MSITU wa pande jioni hii,nimechoka mbaya,BAISKELI yangu imepata pancha sita, Preta kanitosa kisa baiskeli badala ya V6, sijui alitegemea ningepata wapi na mimi sio Fisadi, namshukuru Cacico kwa kuja kunipa kampani ingawa nae sijui kayeyukia wapi, Charminglady usi cancel ile flight ya south, japo nimerudi na meno na kucha zangu ila nimechomwa na MIIBA international nahtaji matibabu maalum nje ya nchi,Bishanga achana na safari ya kwenda mochwari ila hizo pesa ambazo ungelipa mochwari nirushie kwa tiGO pesa,Pinokyo Jujumani ,Im back,Msangi hajatokea eti alienda tafuta ile radio call Muhimbili,Kama kawa nimekutana na Juma Mgaza kanisaidia kukokota baiskeli.Zaidi ule msitu ni mzuri nimeamua ntakuwa naenda every weekend!
 
Preta we mweleze mambo ya Sun Cirro na Mlimani City. Kwa A-Town utamkuta maeneo yaliyosoma kama 'Arusha-Raha' au Jogoo House. Ukimwambia mambo ya Msitu wa Pande na sijui Baiskeli ya Phonex hamtaelewana.
 
Kisiwa cha mauti hicho linatakiwa lipewe jina kubwa kwan serikal ndo inaficha maovu yake kule..Tufunge tumwombee Ulimboka ukweli utajulikana.
 
yaani nimekutafutaje pande zile??? nimeona nyayo za kova na msangi, nimeona pia meno mawili kwenye mbuyu pale tulipoachania, nadhani ni ya dr! khaaaaaaaaaaaaa! kuna mafuvu mengi kule lol, chama cha mabwepande kiboko.
 
Ni kweli mkuu,naona mtoto Preta hataki shida kabisa,yaani kusikia usafiri ni phoenix mayai KAPOTEAJE?
 
yaani nimekutafutaje pande zile??? nimeona nyayo za kova na msangi, nimeona pia meno mawili kwenye mbuyu pale tulipoachania, nadhani ni ya dr! khaaaaaaaaaaaaa! kuna mafuvu mengi kule lol, chama cha mabwepande kiboko.

Kuna muda nilienda nyumbani kwa akina Muarubaini,kumbe ni jirani tu na msitu,kanambia huwa wanaskia mayowe na milio ya risasi sometime!
 
Kisiwa cha mauti hicho linatakiwa lipewe jina kubwa kwan serikal ndo inaficha maovu yake kule..Tufunge tumwombee Ulimboka ukweli utajulikana.

Nimeona tuufanye msitu wa utalii ili madhaifu waache kwenda kufanya mambo yao kule!
 
Back
Top Bottom