Ziara ya Zitto nchini Malaysia

Every step this boy is making makes me ask myself a lot of questions, only because I no longer trust him.(sikatazwi kuwaza kivyanguvyangu) Usikute hii ziara kanatengenezewa na watu wake ili kapate umaarufu na at the same time wakutane juu kwa juu na ccm ili kupanga strategies za kuiletea migogoro Chadema

Alijifunza mengi sana alipopewa adhabu ya kifungo wakati wa bunge la 9.

Subirini Kikao cha bunge cha February 2011, ndipo mtapojifunza maana ya kanuni, sheria na taratibu.

La zaidi, acha dharau kwa Zitto, heshimu utu wake.
 
After our meeting this is what Tun. Dr. Mahathir Mohamad said to ZITTO:

don't destroy your country for political expediency, Serve your country"
Wananchi mwacheni Zitto hiyo misaada katika Jimbo kwani ameenda jifunza hukouzoefu wa michikichi na mawese licha ya kuviendeleza Viwanda vya mawese Kigoma, msiangalie ni kwa manufaa ya CHADEMA bali nchi nzima, ndio Dr MM kamwambia asiimalize nchi yake kwa mambo ya Vyama (political)

Acheni Zitto apatwe na uchungu kwa kuililia Kigoma yake

 
Zitto, Haya ndio tumekuwa tukikwambia siku zote mkuu wangu, hukuamini hadi kasema Mahadhir?..


Hayo ndio maneno. Kama kuna wakati ambapo sisi Wa-Tanzania tumeamua kumsogelea karibu zaidi Mhe Zitto na kutaka kumsoma vizuri ZAIDI kwa ajili ya kupata MAJIBU SAHIHI ya vipindi vijaavyo katika uongozi wa taifa, wakati huo ni SASA HIVI.

Ukweli Zitto ni kichwa, lakini kichwa kisicho na msimamo unaotabirika ni sawa na CANON bomb ambayo wakati wowote inaweza ikageuka na kuleta maafa makubwa Umma wa Tanzania. Tumpeni MUDA zaidi ya kuweza kuelewa vema kwamba ZITTO ZUBERI KABWE hasa ni mtu wa aina gani kiuongozi...
 
Lakini akaze buti, kwani kura alizo pata kwenye ubunge zinatia wasiwasi na umaarufu alio nao.
 
IPTL..IPTL...IPTL....!yaani "miafrika ndivyo ilivyo"....alisema Nyani Ngabu.
Yaani inashangaza wengi walishasahau machungu ya IPTL..!!
I am out, may be NN will be back, awazindue upya !! Maana hii ni laana sasa..
 
Alijifunza mengi sana alipopewa adhabu ya kifungo wakati wa bunge la 9.

Subirini Kikao cha bunge cha February 2011, ndipo mtapojifunza maana ya kanuni, sheria na taratibu.

La zaidi, acha dharau kwa Zitto, heshimu utu wake.

Hiyo si dharau ni mazingira aliyoyajenga yeye. Nakubali kuwa he is some thing but not everything. MGEMA AKISIFIWA TEMBO HULITIA MAJI.
 
Me nadhani tuache siasa za kishabiki na tusimame ktk ukweli ambao wengi hawajui.Ili tuweze kujenga nchi ye2 k...wanza tukubaliane kwa pamoja juu ya nn kifanyike na nn kisifanyike,tuunganishe sera zetu na tufanye kazi kwa ushirikiano ili kuleta maendeleo ya kweli kwa wa2 we2.2kipoteza muda kubishana nani mkweli na nani mwizi wakat tuliyafanya hayo wakati wa kampeni 2nakosea sana sababu kuna muda sahihi wa kufanyajambo sahihi,2sifanye jambo sahihi wakat usio sahihi,tunakosea sana....Siasa ze2 zimejaa fitina na uhasama ambao kimsingi hauna maslah ktk taifa.Mh.Zitto pamoja na yote ana haki kuzungumza kile anachodhani kinaleta maslah kwa nchi yake,leo ni mwanasiasa au chama gani kinaweza kuwa sawa 100% ktk sera na maamuzi yake....Tusiwe watu wa kukosoa 2 kama mashabiki wa mpira wakati tunapaswa kuwajibika ktk nafasi zetu kama wananchi....Kuna tatizo kubwa ktk katiba yetu coz it gives the president power of a dictator but we neva had one waziwazi.Tukumbuke mwisho wa yote wadau wakuu wa maendeleo ya taifa hili ni wananchi wake na si mtu mwingine na serikali ni mwamuzi wa mwisho 2 kwa nguvu ya umma(Supreme power of The People).Tusije fikia hatua ya kukodi viongozi nje kama tunavyofanya ktk mpira kwa sababu ya kukosa watu wenye nia ya kweli na upendo kwa wananchi.
Natoa RAI kwa viongozi wote na wana JF kuwa nchi haijengwi na maneno,fitina,majungu,wivu,kelele wala kuchafuana bali utendaji wenye tija kwa taifa na uongozi wenye kujali maslah ya watu kwanza.Na ikumbukwe kuwa viongozi wanatoka miongoni mwa wananchi wala SI MBINGUNI hivyo basi ni wajibu wa kila mmoja kutambua na kutekeleza wajibu wake katika nafasi alionayo iwe kubwa ama ndogo ili kuleta maendeleo ambayo pia tunapaswa kujua hayaji kwa haraka kama tunavyodhani........TUONDOKANE NA UBINAFSI NA KUWEKA MBELE MASLAHI YA TAIFA BILA KUJALI NANI YUPO MADARAKANI IWE ULIMCHAGUA AU HUKUMCHAGUA!

Arise, Julius Nyerere! Some of us will always do all in our power to ensure that your spirit will live longer. In this century we need neither spears nor guns. Baby Bush has a lot of B52s and countless assault missiles. But he learned some hard lessons in Iraq.
 
Kuwa kiongozi ni kazi kubwa. Wanasema for a leader to be trusted, he must be beyond suspicion. Zitto Kabwe, ni mwanasiasa mahiri sana aliyeleta mchango mkubwa CHADEMA na kitaifa. Ila mwenendo wake umeanza kutia mashaka sana kwa muda mrefu. Ukiacha kitendo chake cha usaliti kuhusu kugomea hotuba ya Kikwete Bungeni, amefanya mambo mengi ya hovyo na ya kushtua.

Hii ni mifano michache ya matamshi/misimamo yake inayotia mashaka:

1. Kutetea wazo la kifisadi la kununua mitambo ya Richmond/Dowans ya Rostam Aziz

2. Kumtetea, kumsifia, kumpigia debe MD wa zamani wa Tanesco, Idris Rashidi, aliyewekwa na Rostam Aziz


3. Kuunga mkono wazo lililo kinyume na katiba la Rostam kutaka jopo la majaji kuchunguza Richmond


4. Msimamo wake wa mashaka kuhusu TANROADS, TICTS, na mengineyo mengi


5. Tuhuma kuwa aliwapigia debe na kutoa msaada wa hali na mali ili NCCR-Mageuzi washinde majimbo ya ubunge mkoani Kigoma badala ya chama chake cha CHADEMA
 
give him a break. sura yake inaonekana mbaya ndiyo anazongwa na kutaka asiwe anazungumza abaki bubu chamani, afe kifikra
 
Muhonga na Zitto kuna jambo..... bla bla blaaa.

Give credits where are due. Zitto ni mwanasiasa mkweli, muwazi, husimamia jambo analoliamini, hafanyi jambo ili mumsifie na haogopi kuchukiwa.

Wewe ndiyo mpuuzi kabisa, na wala hujui unachokisema, ina maana wewe unaona suala la kutaka tume huru ya uchaguzi na katiba mpya siyo jambo la maana,kwa hiyo suala la zito kupingana nalo wewe bado unamuona ana akili timamu? Zito ni mnafiki wa chama wa siku nyingi na hili linajulikana, na subiri muda siyo mrefu hakuna rangi ataacha kuona, chama hiki kina watu wengi wenye busara zao, kina maprofesa wa kutosha. WHO IS ZITO?
 
Hivi Malaysia nani kamtuma? Chadema ilimtuma au ccm? Hatabiriki huyu.
 
IPTL..IPTL...IPTL....!yaani "miafrika ndivyo ilivyo"....alisema Nyani Ngabu.
Yaani inashangaza wengi walishasahau machungu ya IPTL..!!
I am out, may be NN will be back, awazindue upya !! Maana hii ni laana sasa..

Hebu tulia. Unajaribu kusema nini?
 
Mwacheni Zitto kabwe, huwezi kutengeneza chama kwa fikra za mtu mmoja!

Msimwongezee 'kichwa' huyo bwana mdogo. Uwezo na umaarufu wake vitaharibiwa na tamaa ya madaraka. Ni vizuri awe na hekima ya namna ya ku-handle changamoto zinapojitokeza ndani ya chama na alinde interest ya chama. Kitendo cha kueleza publicly namna hali ilivyokuwa kwenye kikao cha chama kilichoamua suala la kususia hotuba ya rais kimenikera sana. Asingepoteza chochote kwa kuamua kukaa kimya au kwa kusema tu kwamba anaheshimu maamuzi ya chama.
 
Ama kweli, hizi ndizo siasa uchwara za baadhi ya Watanzania. Zitto ni mbunge kule Kigoma Kaskazini na tayari ameanza kazi ya kuwaletea watu wa jimbo lake maendeleo. Nani asiyejua kuwa Malaysia ni wataalam wa kilimo cha migazi ambacho pia kinalimwa kule Kigoma lakini kwa utaalam duni????? Mbona tunakuwa wepesi sana wa kulaumu bila hata kufikiria????

Zitto, chapa kazi mwanawane, usiwasikilize hawa watu wasiokutakia mema. Nakujua u-msema kweli ndiyo maana hata ukatofautiana na wazandiki waliojitia kususa kumbe wanataka. Walipotoka nje wakakimbilia kwenye luninga kusikiliza hotuba ya JK. Asikukashifu mtu yeyote, tuko pamoja na wewe.
 
watanzania tuna tabia za ajabu sana tena sana and we need help kwani akienda nje kuna shda gani lazima aende kwa ajili ya taifa? yeye unafikiri hana mambo yake binafsi ya kufanya? let hm goo who cares!!
 
Put your country at heart, don't destroy your country for political expediency or for fulfilling your ambition. Serve your country”
Tanzania kwanza , Mambo binafsi Baadaye.
 
Back
Top Bottom