Zelensky kumtimua Mkuu wa Majeshi baada ya counter offensive kufeli!

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,254
34,205
Baada ya kaunta ofensivu ichwara kufeli vibaya mno sasa zelensky kamgeukia mkuu wa majeshi!

Inasemekana Zalusni alikua hataki kabisa kaunta ofensivu ianze kipindi hiki ila zelensky kwa kufwata oda ya mabwana zake akafosi ianze!

Baada ya matokeo mabovu sasa mkuu wa majeshi kuonyeshwa mlango wa kutokea!

Hali sio nzuri pale Kyiv, jiko moshi unafuka!
 
Baada ya kaunta ofensivu ichwara kufeli vibaya mno sasa zelensky kamgeukia mkuu wa majeshi! Inasemekana Zalusni alikua hataki kabisa kaunta ofensivu ianze kipindi hiki ila zelensky kwa kufwata oda ya mabwana zake akafosi ianze!

Slava Ukraun.

Uraaaaa
 
Wanashindwa kumkata koo huyo Zelensk yani Wanajeshi wa kizungu wanaabudu sana Sheria zao
 
1698768477983.png

Imethibitika kushindana na huyu mwamba inatakiwa ujikane.
 
Baada ya kaunta ofensivu ichwara kufeli vibaya mno sasa zelensky kamgeukia mkuu wa majeshi!

Inasemekana Zalusni alikua hataki kabisa kaunta ofensivu ianze kipindi hiki ila zelensky kwa kufwata oda ya mabwana zake akafosi ianze!

Baada ya matokeo mabovu sasa mkuu wa majeshi kuonyeshwa mlango wa kutokea!

Hali sio nzuri pale Kyiv, jiko moshi unafuka!

Kumbe “inasemekana”
Means si habari za uhakika
 
Zele ana frustrations vibaya sana.

Ila ngoja usikie wa-Ukraine Weusi wa kibandamaiti watabyokuja kumsemea.
 
Back
Top Bottom