Preta!
Hivyo ni vitu gani? Mara nivione kama madini hivi !
Mara kama msosi vile !
Nway hayo niyaulizayo majibu yake si muhimu sana kiiivile kwangu, kuliko ungetolea majibu ya ulioulizwa hapo juu na wakili Rutta!
Kwamba umeyaandaa hayo mavitu ukiwa na yupi ?
MC ?
52 ?
Kaka dark ?
Au yule wa zamani kabisa ?