Zanzibar wanawake wanavyoteswa na waume zao

Labda inaliwa familia ykooo... Ww maana huko kwa wanzanzibar ni haramu km dini ya uislam inavyosema
 
Bora wao, wakawaone wenzao Saud Arabia, hawaruhusiwi hata kugusa gari as if gari iliandikwa kwenye Quran. Waarabu ni jamii ya watu weupe iliyobaki nyuma
 
Ww inaonekana una mengi uliyofanyiwa na wazanzibari..hemu weka ushahidi wa yote hayo...ww ukiwa ni victim maana inaonekana km yamekukuta kwa unavyosemq kwa uhakika

Mrs Kharusy,wewe unakataa wakati Mr Harusi anasema pale kijiweni kwamba anakusukuma mavvi!?
Lazima upinge kwani unajua ni mambo ya aibu.
Unakomaa kukataa!
Mr Harusi anakubonyeza kizenji!
 
Hivi kusema kuwa sehemu fulani wanawake wananyanyaswa ni kukashifiana nyie kwa nyie!??
Unataka tukae kimya ili muendelee kunyanyasa wanawake eti!!???

Wana JF wengine ni mizigo!!!.

Sikioni kitufe cha like! Chukua big five Mkuu!
 
Kwani wee mkuu unafikiri talaka ndio mwisho wa dunia!!???, yaani aishi kama yuko utumwani kisa anaogopa talaka??
Unajiita @mtemi isike ​halafu unataka wanawake wanyanyaswe na wakae kimya tu kwa kuogopa talaka!?, hufai kuwa mtemi.

Shangaaa na wewe! akili za urojo hizo!
 
Mrs Kharusy,wewe unakataa wakati Mr Harusi anasema pale kijiweni kwamba anakusukuma mavvi!?
Lazima upinge kwani unajua ni mambo ya aibu.
Unakomaa kukataa!
Mr Harusi anakubonyeza kizenji!

Njoo na ww .....kwani hupendi raha ww? Ww unaonekana washakurarua haufai maana afadhi ya kizenji ss kibara sijui inakuaje....nadhani utakua unatembeaga na pampers mwenzetu...chukua 5 mwamba endeleza domo chafu...
 
Wewe piga kelele tu,Acha Mzee Harusi ajifillie.
Toa burudani tuu.
Nipe namba yako ya simu nami nijifill-ie mzigo mama.
 
Candid Scope unajua kabisa hii makala umeitoa gazeti la Mwananchi, ni vyema ukaandika source kabisa.
Usiifanye hii makala ni yako kama baadhi ya Watu humu wanavyodhani.

Nadhani nimeeleweka.
 
Last edited by a moderator:
Mh huyo mleta mada mnamwonea bure yeye kaleta matokeo ya utafiti ambao bila shaka kama usingeletwa hapa hata kwenye magazeti tungeusoma. Labda tumwombe atuwekee source halisi.
 
Wewe piga kelele tu,Acha Mzee Harusi ajifillie.
Toa burudani tuu.
Nipe namba yako ya simu nami nijifill-ie mzigo mama.

Kelele unazipiga ww ambae hujielew unaloliongea... anyway m n as stup.d as u r...endelea mkuu.
 
Candid Scope unajua kabisa hii makala umeitoa gazeti la Mwananchi, ni vyema ukaandika source kabisa.
Usiifanye hii makala ni yako kama baadhi ya Watu humu wanavyodhani.

Nadhani nimeeleweka.

Asante kwa angalisho, lakini katika suala la uandishi wagwiji wa habari huwa hawapendi kuandika kitu kinachojirudiarudia, au katika makala kuna kidokezo cha source ya habari hiyo. Hivyo basi katika makala hii kuna vidokezo kadhaa kwamba ni habari toka gazeti la Mwananchi. Wavivu wa kusoma hawatagundua kwa vile wao huishia kwenye kichwa cha habari na kujadili bila kusoma habari nzima.
 
Nakumbuka siku za nyuma Sofia Kawawa ambaye alikuwa mke wa hayati Rashid Kawawa alipokuwa maarufu kisiasa mama huyo alithubutu kuanika ukweli kwamba kuna baadhi ya taratibu za kiislamu zinamyima haki mwanamke. Yaliyompata wanaokumbuka wanajua. Lakini bora kuujadili ukweli kuliko kuufunikafunika tu.

[video=youtube_share;5CM-nZxXR3c]http://youtu.be/5CM-nZxXR3c[/video]
 
Umenyoosha mikono?Tiririka tuhiachie.
Ukome kudakia maelezo ya wanaume.
Huna adabu!

Ww unatuhakikishia hapa kwamba kweli mama yako amejitahidi kukufunza the so called'ADABU' in ur dreams...hongera ur mamma is so proud..stu..d!
 
Back
Top Bottom