Zanzibar wachukua hatua kudhibiti posho

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
627
181
Katika hali inayoonesha kuwa serikali ya Zanzibar angalau inaweza kusoma alama za nyakati, kuanzia bajeti ya mwaka huu, shughuli zote za wizara, taasisi na idara za serikali zinazohusiana na posho lazima zipate kibali maalum cha serikali. Hayo yanatokea Zanzibar wakati Bara wabunge wa CCM wameendelea kusimama kidete kupinga hoja yoyote inayohusiana na kufutwa au kupunuzwa posho mbalimbali zisizo na tija.
 
Hongereni Wazanzibari, liacheni sikio la kufa la Magamba, ambalo halisikii dawa!
 
Katika hali inayoonesha kuwa serikali ya Zanzibar angalau inaweza kusoma alama za nyakati, kuanzia bajeti ya mwaka huu, shughuli zote za wizara, taasisi na idara za serikali zinazohusiana na posho lazima zipate kibali maalum cha serikali. Hayo yanatokea Zanzibar wakati Bara wabunge wa CCM wameendelea kusimama kidete kupinga hoja yoyote inayohusiana na kufutwa au kupunuzwa posho mbalimbali zisizo na tija.
Ingalao
 
Mimi Ndhani muungano ukivunjika zanzibar watapiga hatua kubwa, ni wasikivu na wana msimamo. huku bara!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwani Muungano unawazuia Wazanzibari kupanga bajeti ya maendeleo na kuitekeleza? Tumia ubongo kufikiria na si makamasi!
 
Huo ni 'usanii' mtupu. Wanachatakiwa kusema ni ama posho zitakoma au zitaendelea - YES or NO. basi. hii ya kibali maalum is just a technical way of saying posho zitakuwepo!
 
Back
Top Bottom