Zanzibar: The TRUTH has been revealed at LAST!

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
Technically speaking, at last tumeujua ukweli wa mambo wa siasa za ZANZIBAR....kumbe CUF huwa wanashinda kwa zaidi ya asilimia 60 katika chaguzi za Zanzibar..kura ya maoni ime-reveal hii kitu...CCM wamelazimisha kura hii coz this year wangeiba tena kura,pangechimbika mwaka huu, Wazanzibar hawakuwa tayari tena kuibiwa...wahenga walinena, daima mwanga haufunikiki, BRAVO Zanzibaris!!
 
Tunajua CUF washawahi kushinda at least mara moja Zanzibar, top wa Intelligence wa CCM wenyewe wanakubali. Na nilishasema CCM wamekubali mseto kwa sababu wanajua hawawezi kuendeleza kuiba kila uchaguzi.

Lakini hii habari ya kwamba wanashinda kwa zaidi ya asilimia 60 unaitoa wapi ? Ningependa kujua source maana hii ni statistic.
 
mkuu,nime-base kwenye matokeo ya kura hii ya maoni, kwa kuzingatia pia maeneo yaliyopiga ndiyo na hapana..
 
Watu wa CCM pia wamepiga kampeni na kura kukubali kura hii ya maoni, kwa hiyo kulinganisha mafanikio ya kura hii ya maoni na mafanikio ya wapiga kura wa CUF si sawa.
 
ni kweli mkuu,lakini ni makisio yangu tu kama mfuatiliaji wa siasa za nchi hii,after all naamini kabisa kuna watu wa CCM wameipigia kura CUF mara nyingi sana, nad vice versa...however,naappreciate mchango wako pia ndugu.
 
Siyo Zanzibar peke yake. Hata mainland Mrema alishinda 60% 1995.
 
Mbona hii ipo wazi kuwa uchaguzi ukiwa huru na haki CCM hawashindi zaidi ya viti 10 Zanzibar....na bado naamini kuwa Maalim Seif Shariff Hamad hajawahi kushindwa uchaguzi huru na haki Zanzibar.
 
This is open secret, na nadhani itanedelea hivyo hivyo kuwa CUF wanashinda, wanachapwa mikwaju na CCM wanaongoza. Sidhani kama itakuwa tofauti sana this time around, pamoja na kelele zao zote let us wait and see.
 
Tatizo hapa si nani anashinda uchaguzi, chaguzi hizi hazina mafungamano na socio-economic advancement, and so is politics. Watu watakapoondoa mawazo kwenye hii level ya chini ya ufikiri ndio watakapoona mwanga wa maendeleo. Leo hii Znz inafahamika ulimwenguni kote kuwa ni sehemu nzuri ya utalii, lakini faida yake inamfikia vp mwananchi wa kawaida? Let me guess, they are content of their FILTHY POLITIKING AFFILIATION.
 
Ningependa kujuzwa..mfumo wa serikali utakuaje au kuna marekebisho ya katiba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom