Zantel Stake: 'Just Newspapers Rumors'

idoyo

JF-Expert Member
Jan 13, 2013
3,050
1,401
hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa voda na tigo wanapambana kuinunua zantel. uongozi wa zantel umekanusha na kuthibitisha hilo, etisalat group wameongeza umiliki wao mpaka 85% kutoka 65% na sehemu nyingine ikimilikiwa na SMZ. taarifa hizo zilichapishwa na 'the citizen'.

https://www.jamiiforums.com/habari-...vodacom-and-tigo-battle-for-zantel-stake.html

Reports that two mobile operators, Vodacom and Millicom International Cellular that trades as Tigo, are competing for a 65 percent Etisalat stake in Zanzibar Telecom (Zantel) are not true. Zantel management said yesterday that the reports are ‘just newspapers rumors'.


source: WE ARE HERE TO STAY: ZANTEL

Just in: June 05, 2015

Millicom signs agreement to acquire Zanzibar Telecom

Stockholm, June 5, 2015 – Millicom (Stockholmsbörsen: MIC), today announced that it has signed a Share Purchase Agreement to acquire an 85% stake in Zanzibar Telecom (Zantel) from Etisalat Group.

Zantel is the leading mobile telecom operator on the islands of Zanzibar with 2014 gross revenues of $82 million and 1.7 million subscribers across Zanzibar and mainland Tanzania. It operates 2G and 3G services over 545 network sites, with 57MHz of spectrum and has ownership rights to undersea fibre optic cable capacity. Zantel has an approximate 5%share of the Tanzania mobile market. Millicom intends to retain and continue to operate the Zantel brand, while delivering cash flow growth by leveraging technical and operational efficiencies.

Under the terms of the agreement Millicom will pay the total cash consideration of $1 dollar and assume total debt obligations of $74 million. In addition Zantel will have up to $32 million in net current liabilities at closing. Millicom expects the EBITDA of Zantel to reach $25 million through a combination of bringing new products and services to the existing customer base and delivering greater efficiencies. The agreement allows for an adjustment to the total consideration if that target is not reached by the end of 2019.
Millicom has arranged with a leading international bank, the provision of a $100 million 5-year credit facility for Zantel.
The Government of Zanzibar will continue to own the remaining 15% of the shares in Zantel. Millicom is looking forward to working with the Government of Zanzibar as a partner and as a shareholder to continue to develop the exciting opportunities for Zantel and its customers.
Tanzania is Millicom's biggest market in Africa and the acquisition of Zantel is a natural fit for Millicom's strategy, strengthening our overall position in Tanzania and delivering further growth prospects for the Group:


  • further leveraging the brand power of Zantel
  • delivering technical synergies including procurement and national roaming
  • improving network service quality and coverage
  • capitalising on the growing demand for mobile data and roll out of 4G coverage
  • accessing further bandwidth capacity via the undersea fibre optic cable EASSy
  • sharing Millicom best practice such as expanding its Mobile Financial Services in Zanzibar to support financial inclusion

The transaction remains subject to regulatory approval by the Tanzanian Communications Regulatory Authority and the Fair Competition Commission.

Ends
Press Enquiries
Tabitha Aldrich-Smith, Interim Communications Director
Tel: +44 7971 919610/ press@millicom.com

Investor Relations
Nicolas Didio, Director, Head of Investor Relations
Tel: +352 277 59125 (Luxembourg) / +44 203 249 2220 / investors@millicom.com

About Millicom
Millicom is a leading telecommunications and media company dedicated to emerging markets in Latin America and Africa. Millicom sets the pace when it comes to providing innovative and customer-centric digital lifestyle services to the world's emerging markets. The Millicom Group employs more than 16,000 people and provides mobile, cable and satellite services to over 56 million customers. Founded in 1990, Millicom International Cellular SA is listed on NASDAQ OMX Stockholm under the symbol MIC. In 2014, Millicom generated revenue of $6.4 billion and EBITDA of $2.1 billion.

During its Q1 results in April, Millicom announced that its Africa operations delivered a revenue growth of 16%, up from 13% in the last quarter. In Tanzania Millicom reported strong customer growth in mobile (+508,000) delivering revenue growth of 18% to $92 million with an EBITDA margin of 36%. LTE has also recently begun roll out in Tanzania. Following this transaction, Millicom will reinforce its market position in Tanzania.

About Zantel
Zantel (Zanzibar Telecom) is the leading data telecommunications brand in Zanzibar and its largest internet provider. Its integrated telecom service provide International Gateway services, Fixed, Mobile and data services through its CDMA, GSM, 3G networks.

Millicom signs agreement to acquire Zanzibar Telecom

 

Attachments

  • Millicom buys Etisalat Stake in Zantel.doc
    259.5 KB · Views: 79
''etisalat group wameongeza umiliki
wao mpaka 85% kutoka 65%''

Maana yake nini? Tafakari !


na wewe mleta mada siyo fair kulaumu viz '' hii sio mara ya kwanza
kwa gazeti la 'the citizen'
kuchapisha habari ambazo baadaye
inaonekana ni uongo. wanahabari
wa bongo jitahidini kuchimbua
habari kabla!''
 
''etisalat group wameongeza umiliki
wao mpaka 85% kutoka 65%''

Maana yake nini? Tafakari !


na wewe mleta mada siyo fair kulaumu viz '' hii sio mara ya kwanza
kwa gazeti la 'the citizen'
kuchapisha habari ambazo baadaye
inaonekana ni uongo. wanahabari
wa bongo jitahidini kuchimbua
habari kabla!''

nimesema hivyo kulingana na aina ya gazeti. 'the citizen' ni gazeti la heshima na halistahili kukurupuka na kujiandikia tu. ingekuwa ni 'risasi', 'uwazi' na mengine yanayofanana na hayo wala nisingehoji.
 
Kama hisa za Zantel zimenunuliwa kwa asilimia 20 zaidi na Etisalat basi Zantel ilikuwa hoi. ..

Na hivyo inawezekana makampuni hayo tajwa yalijua hilo yakawa yanamendea taratibu. Ndipo Etisalat baba lao ilipogundua ikaamua kununua share zaidi. uonaona hiyo logic?
 
SMZ kuwa na share Zantel.
Hapa kigugumizi kidgo,maana Makao Makuu ya Zantel yapo Dar,huku kuna vi Ofisi uchwara.
Siku moja waliulizwa kuhusu hili wakapindua na kusema kwamba makao makuu bado yapo Zanzibar.
Lakini ukweli ni kwamba Kazi zote muhim za uendeshaji ngazi za juu upo Dar.Kwahiyo inawezekana hapo mbele ikaja kuwa kweli.
Maana hata Celtel tuliona walikanusha mwisho wakaachia,Zain ikaja the same.Ndio mtindo wetu
 
si zantel tuu hata zenj itanunuliwa.Sidhani hata km wangetaka nunua watu wengi SMZ wangekubali.kutunza udugu etisalat wangepewa. hao jamaa walitaka sana pia njia hiyo ili finally watawala soko bila kuamsha hizia.
 
Kama hisa za Zantel zimenunuliwa kwa asilimia 20 zaidi na Etisalat basi Zantel ilikuwa hoi. .. Na hivyo inawezekana makampuni hayo tajwa yalijua hilo yakawa yanamendea taratibu. Ndipo Etisalat baba lao ilipogundua ikaamua kununua share zaidi. uonaona hiyo logic?
kwanini usiseme hila za kibiashara za etisalat zimeshinda.Serikali si ilitaikiwa kuwa makini hisa za makampuni ya nje zisizidi nusu,kiasi fulani wazawa kingine serikali na mgeni ili kubana mianya ya hujuma.sasa utasikia hisa zinauzwa kwa raia kisha kwa etisalat.100% inakuwa yao, na hili linaweza fuatia baada ya zantel kupush wapewe licence zaidi ktk bara.Hapo ndio akina voda watakoma na viongozi wetu watakavyolainishwa kuwakandamiza wananchi na kulifanya taifa tegemezi kwa hawa waarabu.Tukiokolewa ni pale kampuni ingine ikinunua etisalat
 
hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa voda na tigo wanapambana kuinunua zantel. uongozi wa zantel umekanusha na kuthibitisha hilo, etisalat group wameongeza umiliki wao mpaka 85% kutoka 65% na sehemu nyingine ikimilikiwa na SMZ. taarifa hizo zilichapishwa na 'the citizen'. hii sio mara ya kwanza kwa gazeti la 'the citizen' kuchapisha habari ambazo baadaye inaonekana ni uongo. wanahabari wa bongo jitahidini kuchimbua habari kabla!

https://www.jamiiforums.com/habari-...vodacom-and-tigo-battle-for-zantel-stake.html




source: WE ARE HERE TO STAY: ZANTEL



Mkuu naona yametimia, Tigo wainunua Zantel


MICHUZI BLOG: BREAKING NEWS: MILLICOM SIGNS DEAL TO ACQUIRE 85% STAKE AT ZANTEL
 
''etisalat group wameongeza umiliki
wao mpaka 85% kutoka 65%''

Maana yake nini? Tafakari !


na wewe mleta mada siyo fair kulaumu viz '' hii sio mara ya kwanza
kwa gazeti la 'the citizen'
kuchapisha habari ambazo baadaye
inaonekana ni uongo. wanahabari
wa bongo jitahidini kuchimbua
habari kabla!''


Mkuu Etisalat waliongeza hadi 85 % then wanauza kwa Tigo zote 85 %.

Mkuu naona yametimia, Tigo wainunua Zantel

MICHUZI BLOG: BREAKING NEWS: MILLICOM SIGNS DEAL TO ACQUIRE 85% STAKE AT ZANTEL
 
hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa voda na tigo wanapambana kuinunua zantel. uongozi wa zantel umekanusha na kuthibitisha hilo, etisalat group wameongeza umiliki wao mpaka 85% kutoka 65% na sehemu nyingine ikimilikiwa na SMZ. taarifa hizo zilichapishwa na 'the citizen'. hii sio mara ya kwanza kwa gazeti la 'the citizen' kuchapisha habari ambazo baadaye inaonekana ni uongo. wanahabari wa bongo jitahidini kuchimbua habari kabla!

https://www.jamiiforums.com/habari-...vodacom-and-tigo-battle-for-zantel-stake.html




source: WE ARE HERE TO STAY: ZANTEL



Mkuu wana habari wa BONGO kwa hapa wamedhihirisha. Leo imekamila Tigo wameinunua Zantel.


MICHUZI BLOG: BREAKING NEWS: MILLICOM SIGNS DEAL TO ACQUIRE 85% STAKE AT ZANTEL
 
Back
Top Bottom