Zambia Elections: Opposition (SATA) wins Presidential race!!!

it is always good to credit your source mkuu

ta

Vipi mkuu, kwanza tukubaliane ujana si kwenye umri tu. Angalia viongozi wangapi vijana wametuingiza kwenye matatizo.

mwandishi wa hii article anaitwa Samuel Ullman(1840 – 1924) alikuwa mshairi wa kimarekani.
 
MTM,
Nilitaka kufanya comparison kati ya uzee na ujana, ikiwa ujana kweli ni kigezo. Tumeona madudu yaliyofanywa na akina Masha, Ngeleja, na hawa ni vijana ndani ya serikali yetu. Kuna mtu kazungumzia exposure ya Kikwete. Exposure siyo kitu kama wewe mwenyewe hutumii akili zako
kubuni vision itakayokusaidia kutokana na exposure hiyo. Kikwete kasafiri duniani kote lakini mpaka leo anaamini kuwa misaada ya Marekani ndiyo itakayotusaidia kujikwamua katika maendeleo akisahau kuwa hao Wamarekani wenyewe walitumia mali asili zao na kujipanga mpaka kufikia hapo walipo na hakuna nchi yeyote duniani iliyoendelea kwa kutegemea misaada peke yake. Kiongozi pekee kijana ambaye labda alileta mabadiliko kwao alikuwa Rawlings wa Ghana, na Sankara Burkina Faso lakini hawa walisukumwa zaidi na uzalendo badala ya ujana wao. Tusitumie umri kama kigezo cha uwezo wa kuongoza au uwezo wa kuleta mabadiliko katika jamii. Ni hicho tu nilichokuwa najaribu kusema, bado ni mapema hapa kwetu kwa mvinyo.
jasusi, masha na wenzake wamekua victims wa wazee na kosa lao ni kuwasikiliza tu

labda niseme wazi..... wewe ulikua kijana early seventies, na lazima utetee hoja, lakini kumbuka kwenye life tuna normal distribution curve... it is a shame really msimamizi wa sheria ya utumishi wa umma aliyesema you retire at 60 ndiye wa kwanza kugombea after 60

kwa yeyote mwenye akili timmamu, urais pia ni utumishi wa umma
 
Vipi mkuu, kwanza tukubaliane ujana si kwenye umri tu. Angalia viongozi wangapi vijana wametuingiza kwenye matatizo.

mwandishi wa hii article anaitwa Samuel Ullman ni mshairi wa kimarekani.
true mkuu

but his insight never waranty quality as direct proportional to age
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom