Zahanati ya Kijiji

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486


MIAKA 50 YA UHURU: Watoto na wazazi wa Kijiji cha Oliipil, Loliondo mkoani Arusha wakisubiri wauguzi na madaktari kutoka Hospitali ya Wasso kwa ajili ya kliniki. Jengo linaloonekana ndiyo zahanati na kliniki ya kijiji hicho. Picha kwa hisani ya Mjengwa Blog..


Hivi tutafika...... wabunge wetu ndi hao wanataka Mil 12 kwa mwezi... serikali inatembelea Landcruiser V8,VX na baadi ya mawaziri wake kulala mahotelini..... Mpaka lini...
 
viongozi wengi ni self centred, they care fur nothing but themselves. it will take more than what we have nw to bring changes and fair opportunities to all Tanzanians..
 
Back
Top Bottom