Yusuph Mlela amtolea mitusi Ney wa mitego kisa Bongo movies kuandamana

Binafsi bongo muvi huwa naziona kwenye mabasi nikisafiri tu,
Mkuu umenikumbusha wiki iliyopita nilipanda basi flani hivi la mtwara, waliweka bongo muvi afu sauti kubwa mpaka ikawa ngumu kuskia sauti ya mziki kwenye simu kwa earphone zangu.. Nilichofanya ni kumuita konda nkamwabia apunguze sauti ila cha ajabu akasema kuna wadau wengi siti za nyuma ndo wameomba sauti iongezwe kwa kuwa wamekaa mbali sasa nikageuka nyuma nione hao wadau(huku nikitegemea kuona wadada flani dizaini ya bekitatu)
Nilishangaa kuona njemba kama nne hivi zimetulia tuliii zinafatilia bongo muvi aseeh nilichoka sana
 
Bongo movie kujiassociate na Bashite ni wazi mipango yenu lazima itafail. Na wewe Mlela kama una kipaji cha boxing si uachane na movie uwe boxer? Vipaji mnavyo mnavikalia tu, Kwani lazima kuigiza?
 
The return of bongomovie
Starring:Yusuph Mlela and nay wa mitego (966) "trueboy''
Coming soon.,.......
 
hawa bongo movies ni wapuuzi wakubwa.

Enzi zile wakina Kanumba wanatusua na movie za ukweli hizo filamu za nje hazikuwepo bongo?
 
Filamu haziuziki anatafuta kick mitandaoni taahira kabisa huyu.

Mimi wangeandama kina Mzee Majuto, Onyango na Ze comedy angalau wana mvuto ningeaaelewa na siyo hizi takataka za Bashite.
Ze Comedy??

Katika wapuuzi ambao siwezi kuwaangalia basi hawa ze comedy wanaongoza.
 
Ney kapatikana siku ya pambano watupe taarifa ili tuje tushuhudie nani mkali hata kiingilio nitatoa
 
Bongo movie wana dhambi ya ubaguzi na uzinzi, yaani waanawaacha watu wenye vipaji halisi vya kuigiza wanawachukua malaya na ndio maana bongo movie nyingi hazina creativity, hasa upande wa waigizaji. Hatuna uwezo wa kuwa na vifaa vya kisasa kwa ajili ya kuandaa movie, lkn waigizaji wenye vipaji halisi tunao basi tuwatumie. Bongo movie soko lenu litakuwa siku mkiacha kuchagua waigizaji kwa kuangalia mahips, sura na matako kama kigezo cha ugizaji upande wa wanawake na upande wa wanaume sifa ya kuwa muigizaji uwe shombe shombe na kuuma uma lips, mnajiharibia. We movies inafanyika bush akina kaka nywele zina super black na ukija kwa akina dada kuanzia mwanzo mpaka mwisho kajifunika kitambaa, anaogopa nywele kuchafuka. Msizilaumu movie za nje, kwani zilikuwepo tokea tunazaliwa na Kuna kipindi movies zenu zilizipita hizo movie za nje kwa sababu ubunifu ulikuwa mkubwa. Ila hilo mnalolidai la ulinzi wa kazi zenu, kweli ni haki yenu lkn hilo la Kuzuia movie za nje mmechemka, boresheni kazi zenu kwa kuwatumia waigizaji wenye vipaji halisi na si hawa wauma lips na watikisa matako.
 
Mlela asipanic, Ney nahisi yupo sahihi kwani hiyo Mlela katoa movie ipi ikahit kama ya marehemu kanumba huyo si sawa na Ray mzee wa weupe wa maji asilete bifu maisha sio kupigana ngumi atumie akili kutengeneza soko lake sio fighting kama anaweza si aache movie aingie kickboxing
Kickboxer ipi ambayo anaiweza Huyo anayeshinda kwenye kioo kujiremba? kazi kujilengesha kwenye mitongozo tu
 
Kweli pesa imepotea mpaka anataka pambano??? Seems ameiona fursa na anahisi watapata watu wengi...kwa kiingilio....
 
Mkuu umenikumbusha wiki iliyopita nilipanda basi flani hivi la mtwara, waliweka bongo muvi afu sauti kubwa mpaka ikawa ngumu kuskia sauti ya mziki kwenye simu kwa earphone zangu.. Nilichofanya ni kumuita konda nkamwabia apunguze sauti ila cha ajabu akasema kuna wadau wengi siti za nyuma ndo wameomba sauti iongezwe kwa kuwa wamekaa mbali sasa nikageuka nyuma nione hao wadau(huku nikitegemea kuona wadada flani dizaini ya bekitatu)
Nilishangaa kuona njemba kama nne hivi zimetulia tuliii zinafatilia bongo muvi aseeh nilichoka sana
Sio lazima unachokichukia wewe kila mtu akichukie
 
Back
Top Bottom