Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

Mapapa wengine kutajwa tumeshaambia taratibu hazijafuatwa KWANZA IFAHAMIKE MAKONDA ANATAJA 'watuhumiwa' kiswahili kieleweke vizuru.
Makonda mtaalam sana alishafanya uchunguzi vizur sana data zote anazo hawez kuwaita tu bila sababu uko vzur sana bigup mzee wameshaanza kujichanganya wenyewe
 
Makonda usifikiri biashara ya drugs ni Kama biashara ya Mangi dukani.
 
Mkuu tuweke tu akiba ya ma maneno haya mambo huwa yanaisha katika namna ambayo haifanani na yalivyoanzishwa, fikiria issue ya kina TID ila sasa wako huru,

Mkuu hakuna lisilo na mwisho kweli lakn inategemea sasa we unataka liishe vp ..... TID kwanza amekiri na kuomba msaada wa serikali ili aweze kuacha kutumia madawa, sasa km amekiri ni wazi kuwa ameyasema na anayoyafaham kuhusiana na madawa ..... same goes to manji ye ht akiwaita bbc, ht akatukana matusi yote bado atatakiwa kujib atakachoulizwa siku hyo tena ajib kitu ambacho polisi watahitaji kukisikia kwa undani maana mpaka anatwaja kwenye list maana yake ni kwamba wameshaambiwa kuwa anahusika na inawezekana wateja wake wamemtaja.

Hii vita si ya rahisi mkuu maana kesho unaweza ukasikia anatajwa sheikh au mchungaji wa sehemu unaposali,,,,,, hawa tuonaowaona watu kwenye jamii ndo wanatuangamiza, imani zetu kwao ndio fursa.
 
Makonda ni simba aliwahi kusema yanga inaingia mkataba na yanga kama ule wa chifu mangunga.Mkataba wa simba na moo ndio bora.
 
Umekuripuka men! g il gok, post: 19628898, member: 275553"]Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kutajwa kuhusika na madawa ya kulevya kuna mambo machache nimejifunza sana kama kijana na kama mpenzi wa Yanga
1. Vita hii ya kupambana na madawa ya kulevya yafaa kupewa sapoti na watu wote bila kujali maslahi au mrengo wako katika mambo ya kisiasa na kijamii
2. RC Makonda ameanza hivyo wote tukiungana tutaokoa maisha ya vijana wengi zaidi
3. Watu wote waliotajwa akiwemo rais wangu Mhe. Yusuf Manji wala hana haja ya kuogopa hizi hali; ni kipindi kidogo sana cha mpito kwa ajili ya kuwapa ukomavu.
Viva Manji Viva Yanga![/QUOTE]
Umekurupuka
 
Weweee! huko zilikuwa kelele tu haikuwa kweli na hata kama ingekuwa kweli hakuna mwenye ubavu wa kutia mguu huko. Kumbuka kule ni kwa koloneli, mwana system na ni mtoto wa migomigo vilevile. Na pia usisahu huyo mtu aliwaneemesha wabeba magobore ipasavyo. Wakijichanganya huko rangi ya kijani itakuwa imefikia ukomo, ni full kiangazi.
Mwenye Jina la mfalme umekua itabidi uachiwe kiti cha ufalme
 
"Ukinituhumu mimi ni mpumbavu tu wewe"-Yusuf Manji.


Ebu tazama huyu Mhindi koko alivyo jeje, hili tusi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Ikiwezekana ashitakiwe kwa hili!
 
Timu isiyo na chochote inaenda kupiga kambi ulaya tena uturuki aaaagh wakat timu hata kujiendesha haiwez
naanza ku doubt, kulikua na namna, uwanja wameshindwa kujenga...wakashindwa kulipa mishahara lakini wakaweza kwenda kuweka kambi [HASHTAG]#uturuki[/HASHTAG]
 
Ni sawa mkuu lakini hili halihusiani kabisa na biashara zake halali na kama ataamua kukata mirija yake kwenye taasisi anazizihudumia ni sawa mana ni bora kuliko kuendelea kutuumiza sisi na ndugu zetu, kipindi hichi habembelezwi mtu! and trust me huyu jamaa itakula kwake maana ameshaanza maneno ya shombo.
Kuna ukweli ambao wengi hawaufahamu. Sheria inatambua heshima ya mtu kutokana na nafasi yake katika jamii. Ndiyo maana ikitokea wewe umevunjiwa heshima kwa namna ile ile kama alivyovunjiwa heshima Manji, Mbowe, Mengi, Pengo, n.k. usidhani mtakuwa na haki ya kulipwa fidia kwa kiwango sawa.

Kwa vyovyote vile fidia yako wewe itakuwa negligible ukilinganisha na ya Manji, Pengo, Mbowe au Mengi, licha ya ukweli kuwa ninyi nyote ni binadamu.

Unaweza kumtuhumu TID bila ushahidi wowote na baadaye ikathibitika kuwa alionewa, na ikawa imekwisha. Lakini kumtuhumu Manji au Mengi hadharani kunahitaji uangalifu wa hali ya juu na kujiridhisha kuwa kweli tuhuma hizo zinaweza kuthibitika. Manji anaweza kudai fidia kubwa kwa kuithibitishia mahakama ni kwa namna gani biashara zake ikiwa ni pamoja na Yanga, zimeathirika kutokana na yeye kutuhumiwa hadharani. Lakini pia heshima yake imeshuka kwa watu wengi (na ndiyo maana kila mara ameitaja Yanga, na wapenzi wa Yanga wapo nchi nzima).

Watu wasitafsiri vibaya haki ya kikatiba juu ya sisi wote kuwa na haki sawa mbele ya sheria.
 
Back
Top Bottom