Yupo wapi Hawa Ng'umbi?

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,917
1,660
Wanabodi kuuliza si Ujinga.

Yupo wapi yule mwanamama aliyesababisha tukakesha siku nne pale Ubungo 2010. Ninataka kujua kuwa yeye hakuitikia wito wa Makamba wa kufungua kesi? je yeye hajapewa Ubalozi mahali. Manake wenzake karibu wote walioashindwa na CDM wanakula mabata sehemu mbali mbali hapa duniani. yeye kulikoni!

Mwenye taarifa zake anijuze kwani nina mpango wa kumtafuta nimuelimishe kuwa CCM wana mapenzi kama ya Mnzinzi na kondom, akimaliza haja zake anakutupa tena bila hata kukutizama! nisaidieni alipo tumrudishe kundini labda alikuwa na material kidogo.
 
Wanabodi
kuuliza si Ujinga
Yupo wapi yule mwanamama aliyesababisha tukakesha siku nne pale Ubungo 2010. Ninataka kujua kuwa yeye hakuitikia wito wa Makamba wa kufungua kesi? je yeye hajapewa Ubalozi mahali. Manake wenzake karibu wote walioashindwa na CDM wanakula mabata sehemu mbali mbali hapa duniani. yeye kulikoni! mwenye taarifa zake anijuze kwani nina mpango wa kumtafuta nimuelimishe kuwa CCM wana mapenzi kama ya Mnzinzi na kondom, akimaliza haja zake anakutupa tena bila hata kukutizama! nisaidieni alipo tumrudishe kundini labda alikuwa na material kidogo.

Kwenye red: hiyo ni kali ya aina yake
inapatikana kwenye aya ya kitabu gani.
 
Wewe unamuulizia huyu mimi namuulizia Fatuma Kimaro wa Igunga. bado ni mkuu wa wilaya?
 
Babu yao Makamba alishawatengenezea makao yeye pamoja na katibu wa mkoa wa ccm Kilumbe!!
 
kapewa ukuu as wilaya ..yeye na Mshama aliyekataliwa kwenye kura za maoni za ubunge..
 
Back
Top Bottom