Yupi anafaa kati ya hawa?

chloe.obrain

JF-Expert Member
Feb 25, 2010
391
20
ningependa kujua kuhusu hawa vijana wawili wa kiume ambao age zao zinarange kwenye 30-35yrs old, mmoja bado yupo home anaishi chini ya uangalizi wa wazazi, mwingine anajitemea anaishi peke yake, wote wanafanya kazi yenye kipato kizuri tu, na tabia zao hazitofautiani sana namaanisha ni wacha Mungu, hawatumii kilevi,wacheshi,wanajali .......n.k.
yupi kati ya hao anaweza kulea familia yake fresh atakapoamua kuoa? msaada plz!!!!!
 
Sidhani kama kuna uhusiano wa moja kwa moja kwa mtu anayeishi na wazazi na uwezo wa kuhandle familia.

Hiyo ni akili ya mtu binafsi.
 
hapo huwapendi wote,kama kuna unayempenda kati yao usingejiuliza wala kuwalinganisha.
 
Anaye weza kulea vema familia.!!!!!!
uzoefu nilio nao ni kwamba familia inalelewa vema na wahusika, hasa wale waliojitolea kwa uwezo wao. tena wanaozingatia wajibu wao wa malezi bora.
Muhimu ucha Mungu ni sifa mojawapo. japo wengine huigiza kuwa wao ni wa mungu kumbe wana yao moyoni. kubwa zaid ni uwajibikaji kwa familia.
wengi tunapenda kusimamia familia ila hatuwajibiki vema.

JE! WEWE UNAFIKIRI NI YUPI ANAONEKANA KUJALI. KUTHAMINI NA KUWAJIBIKA ZAIDI?
kama vile ambavyo wengi hawapendi adhabu, ndivyo hivyo ambavyo hatupendi kuwajibika!!!1
 
are you serious?wewe bado hujaamua kuwa na familia haya mambo ya kuangalia kati yao yupi anafaa yanaonyesha kabisa bado hujawa na uamuzi sahihi angalia unaweza amua kuolewa na mmoja wao na baada ya kuingia kwenye ndoa ukaanzisha mahusiano na huyo mwingine baada ya kugundua uliye naye si sahihi na hiyo ni hatari sana.Angalia unayempenda na huwezi ukawapenda wote hiyo itakuwa si upendo bali tamaa yaani unawatamani.anayeishi na wazazi bado hajakua huyo hajajua wajibu wa mwanaume na huenda ni muoga wa maisha,na si ajabu akikuoa ukakaa hapohapo kwa wakwe hiyo ni hatari pia kwa ndoa maana utakosana na ndugu zake mapema sana maana wewe si malaika kwamba kila utakachofanya watakipenda.
 
Sasa we si useme unataka ushauri umkubalie yupi? Unazunguuka. Nadhani unawafaham vizuri na unashindwa kuandamana na yupi. Angalia wote wasikupuruchuke
 
HAo wasiokunywa ndio balaa, ulevi wao wahaujua wenyewe.........................................................................!!!
 
Ngoja nimlete pweza wa KIJERUMANI atabiri
ningependa kujua kuhusu hawa vijana wawili wa kiume ambao age zao zinarange kwenye 30-35yrs old, mmoja bado yupo home anaishi chini ya uangalizi wa wazazi, mwingine anajitemea anaishi peke yake, wote wanafanya kazi yenye kipato kizuri tu, na tabia zao hazitofautiani sana namaanisha ni wacha Mungu, hawatumii kilevi,wacheshi,wanajali .......n.k.
yupi kati ya hao anaweza kulea familia yake fresh atakapoamua kuoa? msaada plz!!!!!
 
tukiiangalia hii topiki kwa jicho la tatu ni kwamba huyu dada ana midume miwili na yote inafanyana nae sasa anataka achagua mmoja pole zake kwa kusuguliwa na wengi at a time
 
tukiiangalia hii topiki kwa jicho la tatu ni kwamba huyu dada ana midume miwili na yote inafanyana nae sasa anataka achagua mmoja pole zake kwa kusuguliwa na wengi at a time

:playball: may be, may be not ngoja nimuulize kama huwa inafanyana naye teh teh!!!!
 
Back
Top Bottom