Yule mchumba niliyempata ni mchawi, shetani, si binadamu wa kawaida kamwe

i didnt know.. ni kweli nlimsifia coz that time hakuwa ametoa makucha yake... she is beautiful mpaka leo ila tu tabia yake ni mbaya. imenishinda... kuomba pesa ua matumizi makubwa yasiyo na future nlisema ningemvumilia na baadaye angejifunza lakini hili la kuminya korodani zangu limenisikitisha sana..........
nikikumbuka ulivyokua unamsifia katika ule uzi inabidi tu nicheke
 
afadhali uharibifu huo wa vitu vinanunulika lakini kama angefanya ule uharibifu wa sehemu zangu nyeti... mkuu si ningebaki kama toy tu maisha yangu yooote... hata wadada humu wangeanza kunichezea wakijua sina madhara kwao. aende tu huyu dada kama una hasira kali mnaweza gawana majengo.... mwingine akaenda hosp mwigine jela/gerezani. sina hamu naye mpaka namwogopa. ukiona mwanaume wa aina yangu anamwogopa mwanamke ujue ni hatari sana. yule msichana ni kama ana majini yakipanda ni kama unavyowaona wamasai wakipandisha mori.


Mwambie ili mrudiane alipie uharibifu wote alioufanya....
 
afadhali uharibifu huo wa vitu vinanunulika lakini kama angefanya ule uharibifu wa sehemu zangu nyeti... mkuu si ningebaki kama toy tu maisha yangu yooote... hata wadada humu wangeanza kunichezea wakijua sina madhara kwao. aende tu huyu dada kama una hasira kali mnaweza gawana majengo.... mwingine akaenda hosp mwigine jela/gerezani. sina hamu naye mpaka namwogopa. ukiona mwanaume wa aina yangu anamwogopa mwanamke ujue ni hatari sana. yule msichana ni kama ana majini yakipanda ni kama unavyowaona wamasai wakipandisha mori.
Basi mwambie alipozivuta na kuziminya naniliuu zimeharibika hazina kazi tena...atafute mwenye mashine nzima
 
Mkuu kawaida kivipi huu ni ushetani kwenye eneo lile ukibinywa sizani kama unapata nguvu hata za kuongea, mkuu hapo hakuna ukawaida huu ni ushetani
Hujanielewa,namaanisha kukutana na mtu ambaye yuko hivyo ni kawaida,ila kama unampenda msaidie mjenge familia
 
zeus kwa huyu dada wa tabia hiz mnajengaje familia? hapo hata sijamwoa anafanya hivyo.. je nikimwoa akawa na haki zote si ndo itakuwa balaa? siwezi hata kula chakula chake kwa sasa huyu ni mchawi tu nakwambia. ni mjukuu wa shetani kabisa ....kuna mengi nlikuwa nayaficha hapo mwanzo ila hili la juzi limenishinda.
Hujanielewa,namaanisha kukutana na mtu ambaye yuko hivyo ni kawaida,ila kama unampenda msaidie mjenge familia
 
Miezikadhaa iliyopita kwa uungwana kabisa nikaja humu kuomba nisaidiwe kupata mchumba nashukuru kuna wadada waungwana kabisa wakajitokeza na wengi niliwapa majibu stahili kuwa am sorry singeweza kuwa na mhusika kwa sababu flani nilisema wazi nataka mke si girlfriend mke na niliweka wazi vigezo ingawa wengi walinisema kuwa nisiangalie sana umbo lakini nilipenda niweke wazi sababu kama ni mke ni vyema pia akawa na sifa ninazo taka ili nisimwoe mtoto wa watu halafu nikamtesa kwa kuanza kutoka nje tena.

Nilisema nahitaji mwanamke mzuri wa sura na pia mimi ni mpenzi wa hips au makalio so awe na uzito wa kutosha rangi asiwe mweusi labda awe black au white ila si mweusi nikisema black sijui kama mnanielewa kuna utofauti wa black na weusi mwangalie obama wanamwita black ila akija kwetu hatuwezi mwita mweusi atakuwa mweupe so napenda msichana awe black,mweupe au white.

Nikampata dada mmoja mwanasheria nikafunga mjadala wa mchumba nikawashukuru wadau yule dada nilimpata ni mjeuri,mshirikina na mkorofi sana na nilikuwa nashangaa ana miaka 30+ why hajaolewa? kumbe tabia.

Mambo mambo mengi ambayo nisingependa kuyasema na nlivumilia tu mchoyo pesa yake haijulikani anafanyia nini zaidi ya kubadilisha simu kila week,kununua perfumes kila aina za gharama mafuta ya gari anaomba kwangu,akiona kitu kizuri anachukua nije kulipa out huwa hawezi kutoa hata shilling na anafanya kazi anaishi kwa wazazi ambao hawachukui hata sent 5 yake moja yeye anapenda starehe mara na wenzake wanaenda zanzibar mara twende mwanza weekend mambo hayo tu hana future.

La jumamosi ndo limenifanya niseme sasa basi aliomba toka last week nimpatie kiasi flan cha pesa nikamwambia ntampa weekend bahati mbaya mambo yangu hayakuwa vizuri so akaja tukawa tumeendelea na mamb yetu baadaye anataka kuondoka akanikumbusha nikamwambia bado sijapata ile pesa akabadilika sana akawa amekasirika mpaka amekuwa mwekundu.nikaenda kuoga nikarudi nivae ili sasa tutoke alitaka tukacheck movie nikiwa navaa aliniita "hebu njoo" nikashtuka aliniita kwa ukali kidogo anyway nikaenda akaniuliza huku amekunja sura "hivi unaniona mimi ni mtoto? ulinambia leo unanipa ile pesa mi nimeacha shughuli zangu home nmekuja kwako ufurahi nami nifurahi umemaliza haja zako unanambia huna hela si ungenambia mapema mi nisijichoshe na usinichoshe hivi? sikuwa nimemwelewa.

Basi nikiwa na boxer tu akakamata korodani zangu na kuanza kuzibinya nilipiga kelele kwa nguvu sana ikichanganyika na mshtuko sikutegemea yule dada afanye hivyo akaanza kunambia "utachezea wanawake wengine si mimi, ungenambia mapema sasa nipe atm card yako ya crdb na password nikachukue ile uliyoniahidi mimi nami nlimwahidi mtu kumlipa leo ataniona mi mswahili na pesa yake anataka asafiri kesho akachukue mzigo china" aliniminya huku nikimsihi aniachie aache masikhara ananiumiza kumbe kumwambia vile ndo akazidi kubinya korodani zangu huku akizivuta nilimchapa kibao kwa nguvu sana ndo kuniachia akaanza kupandisha sijui mashetani na kuanza kunitupia vitu mle ndani.

Slinifanyia fujo sana na kukaribia kuvunja screen ya chumbani,chumba kilivurugwa huku akipiga makelele kuwa namuua kama isingekuwa ni ndani ya geti mbali na nyumba zingine si ajabu ningeitiwa polisi nilifanikiwa kumkamata na kumbeba nikatoka naye nje uwani nikamweka hapo nikaingia ndani nichukue vitu vyake aondoke. pale nje akaanza kupiga vioo vya sebuleni akavunja kiukweli uvumilivu uliniishia nilitoka nje na kumchapa kibao kimoja akaanguka nikadhani nimemuua haraka nikampigia simu jamaa yangu polisi aje yule dada alimia mpaka jamaa anafika yule dada alikuwa ameshazinduka nikiwa naye sebulen.

Nlimwomba msamaha na kumchukua kumpeleka zahanati moja wamwangalie nikiwa na yule jamaa yangu askari (senior superintendent ) baada ya hapo nikamrudisha yule dada kwao na bahati nzuri hata mama yake alishanifahamu nikamwacha akiwa salama mikononi mwao.

Nlirudi home nawaza nilitaka kuoa jini au binadamu? huyu dada kwa hasira alizozionesha si anaweza hata akanikaba usingizin?au akaniwekea sumu usiku wa jana alinipigia akiomba nimsamehe yaishe turudiane na kuwa haitatokea tena nilimwambia tu anipe muda kwanza nipumzishe akili yangu then ntamtafuta around saa usiku alikuja akawa anapiga simu yupo getini nilimwambia tu kuwa sipo home nipo kwa jamaa zangu akanambia atanisubiri getini.

Nlimsihi tu kuwa tutaonana leo maana akisimama sana pale nje watu wa usalama mtaani watakuja kuhoji kwa nini kasimamisha gari ile sehemu kwa muda mrefu coz huwa inatokea hivyo basi akaondoka asubuh hii kanipigia.

Sikupokea kanitumia meseji kuwa nimsamehe anajutia kosa lake kuwa hakuwa tu ok siku ile akajikuta anafanya mambo ya ajabu nashukuru korodani zangu zinaendelea vizuri maana ile juzi usiku na jana asubuhi zilikuwa zinauma sana ikabidi nikacheck hosp nimeonekana nipo vizuri na bado nanii inafanya kazi vizur tu maana nlikuwa na wasiwasi kuwa pengine ndo basi tena.

Ila nipo sawa nitaendelea kupiga mzigo kama kawaida but huyu dada amenitumbukia nyongo sina hamu naye kabisa sikutaka kuyasema haya lakini nimeona bora niseme maana yasije yakamkuta mtu mwingne. i am so sorry kwa hili.
Hebu tupe id yake ili tukae nae mbali kama ukoma aisee, pole sana
 
zeus kwa huyu dada wa tabia hiz mnajengaje familia? hapo hata sijamwoa anafanya hivyo.. je nikimwoa akawa na haki zote si ndo itakuwa balaa? siwezi hata kula chakula chake kwa sasa huyu ni mchawi tu nakwambia. ni mjukuu wa shetani kabisa ....kuna mengi nlikuwa nayaficha hapo mwanzo ila hili la juzi limenishinda.
Sasa mkuu kosa dogo tu hivyo,basi kila mtu angekuwa akikosewa anaacha ndoa nyingi zingevunjika na watu pia wasingeoa.

Cha msingi kama unampenda,naamini anaweza badilika,pia kama unaona anamajini (mapepo)mpeleke sehem husika ili aweze saidiwa.
 
zeus.. kama ambavyo nlisema kuna mlimbikizo wa makosa mengi ila hili la juzi ndo limenikatisha tamaa.. umewah kubanwa korodani (mapumbu) ? tena kwa sababu uliahidi kumpa mtu mpesa ukakosa hiyo pesa.si kwamba ana kudai ni ya kwake kusema kuwa umemuudhi sana. pesa yako anakuminya korodani. anavunja vunja vitu ndani na nyumbani?
AKUMULIKAYE MCHANA , USIKU ATAKUCHOMA MOTO.. aende salama.
Sasa mkuu kosa dogo tu hivyo,basi kila mtu angekuwa akikosewa anaacha ndoa nyingi zingevunjika na watu pia wasingeoa.

Cha msingi kama unampenda,naamini anaweza badilika,pia kama unaona anamajini (mapepo)mpeleke sehem husika ili aweze saidiwa.
 
umeanza kumfanyia visa na kumtafutia sababu ya kumuacha kisa yule mama mke wa mtu?
 
Mpeleke kwenye maombi Si ajabu akawa pepo huyo.
Ilishawahi kutokea kwa mke wangu kumbe yalikuwa mapepo baada ya maombi yalikimbia
 
hebu tuheshimiane humu ndani

nimefuga ndevu ili mtu aogope kunidanganya
ndevu hata mbuzi ako nazo.
goat-business-plan4_800.jpg
 
Back
Top Bottom