mtemiwaWandamba
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 561
- 223
The big Mayai yalikuwa ni ya Hood Bus LimitedKuna basi kali enzi hizi liliitwa the big mayai
The big Mayai yalikuwa ni ya Hood Bus LimitedKuna basi kali enzi hizi liliitwa the big mayai
KAMATA walikuwa na Leyland Albion Dar - Songea unasafiri wiki nzimajohnthebaptist ile Leyland ya Matimbula haijawahi kufanya safari za Dar-Songea enzi zenu wahenga.
Zainabs alikuja kushindana na Scandinavian baada ya mzee Abdullah kumuingilia kwenye biashara zake za unga!Zainabu bus mkongwe naye
Ova
Hahahaaaa...... Charles Pella mikopo ilimfirisi Matema zikafa akakimbilia Mwanza!Matema beach naye alikuja vzr ila mwishowe akafeli
Ova
Unajua Comfort alikuwa na mgogoro mkubwa na jamaa yake jambazi Kipagati.Hivi comfort hotel alivyofilisika hawakurudi tenaaa
Ila mbn ilula Hotel pale kwa wasomali mpk leo wapo au nao wamepwaya
Ova
Hao hao bwashee ndio walinunua kampuni ya Lupelo ya mzee Kihaka!Grazia Venelare ndio zilikuwa zinamilikiwa na masista au nani?
Ukonda watu wengi wamepitia
Mm mwenyewe ukonda nlipokuwa
Mbeya siku za wknd ilikuwa day waka
Yangu,nlikuwa kwenye chai maharage
Lakini
Ova
Hapana Widambe aligongwa na Landrover 110 ya wizara ya kilimo pale mnazi mmoja wakati akiongozana na msukuma mkokoteni aliyemmbebea mizigi ya dukani kupeleka kwenye basi lake.Tajiri wa Widambe nasikia aligongwa na gari pale Mnazi mmoja Stendi?
Taqwa inaypiga route ya kwenda kongo
Inatembea,nshaipanda sana cha ajabu inajaza mizigo kuliko abiria
Ova
Zainabu bus mkongwe naye
Ova
Ile petrol station aliyoinunua kwa mzee Mashaka Dugange aliiuza?Jah people kabaki na malori ya mizigo tu
Swadakta bwashee.
Kitambo sanaZainab,scandinavia,nyota walianza na bus za carrier hawa enzi hizo
Hahahaaaa...... Bwashee una kumbukumbu sana konda mtoto wa tajiri Mecky Kiwanga.Ilangamoto ilikuwa ni isuzu
Hehe we kweli mkongweZainabs alikuja kushindana na Scandinavian baada ya mzee Abdullah kumuingilia kwenye biashara zake za unga!
Matimbula ipo had leo Kama sijakosea inapiga route za songea ,,,namtumbojohnthebaptist ile Leyland ya Matimbula haijawahi kufanya safari za Dar-Songea enzi zenu wahenga.
Aise nmekukubaliUnajua Comfort alikuwa na mgogoro mkubwa na jamaa yake jambazi Kipagati.
Kipagati baada ya kutoka jela alitaka ile mali ya Comfort kuanzia Hotel, mabasi na taxi wagawane pasu kwa pasu kwa sababu utajiri huo ulitokana na ujambazi uliopelekea Kipagati kwenda jela.
Nyato akakataa ndipo zilianza figisu za kurogana na Comfort ikafilisika!
Ofisi zao zilikuwa Kariakoo pale Saigon!Kuna basi kali enzi hizi liliitwa the big mayai
Enzi zile madogo tulichangamkaHalafu sijui ni jini gani watu waliofanya ukonda au kukatisha tiketi wale wa zamani nowdays ni matajiri wakubwa, maana michongo ya hapa na pale ilianzia stand, konda ndio alijua sukari ya zambia na malawi ikifika uyole iwekwe wapi au zile power zinaminywa chini ya chasis mzigo unatambaa, konda ndio alijua maziwa ya south hanakaa wapi, konda ndio alijua kipodozi kinafikaje mjini, siku hizi watoto wapo na vyeti ndani wamelala wanaamka mchana hata kufika ubungo kua salange hawataki, zamani zamani ikumbukwe
Yah wakati naenda kongo nligundua kuna wana walikuwa wanaenda kongo na mizigoYale mabasi usihesabu abiria, wao wenyewe wanakueleza mizigo ndio inalipa, nishabeba nao sana nyama ya ng’ombe kwenye ndoo kutoka tunduma kwenda Lubumbashi miaka hiyo, na safari ilikua safi kabisa