Yuko wapi Wiliam J. Malecela?

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Ukimya wa W.J Malecela unatutisha tulizoea kubishana nae humu na kubadilishana mawazo au CCM wamempiga BAN ?
 
Ni kweli jamaa hajaonekana muda mrefu humu.Ni tangu ile thread yake kuhusu maamuzi ya CC ya CCM kuhusu Chenge na kuonekana sio kweli hasa baada ya tamko lenyewe officially kutokuwa na hiyo habari.Labda alipigwa ban au bado anapima kisha achukue uamuzi mgumu!
 
yuko NYC, USA

ha ha ha

mimi nilimwambia ya kuwa CCM hawataki mtu anayesema bila kuambia na mwenyekiti wao. nasikia kachimbwa mkwara mkubwa kuwa kadi yake imefutwa sasa nadhani muda wote ni kuomba huruma ya mwenyekiti amwachie
 
Ni mtoto wa mzee Malecela, dhihiri yupo kwenye pilikapilika za kumpokea Kikwete kisha aridhi mikoba ya Januari Makamba kuandaa hotuba za Kikwete, ndo maandalizi ya watoto wa vizito kuchukua hatamu za uongozi wa CCM bana.
 
Ni mtoto wa mzee Malecela, dhihiri yupo kwenye pilikapilika za kumpokea Kikwete kisha aridhi mikoba ya Januari Makamba kuandaa hotuba za Kikwete, ndo maandalizi ya watoto wa vizito kuchukua hatamu za uongozi wa CCM bana.


unadhani baada ya kuwashambulia CCM wanaweza kumchagua kuwa msaidizi wakati wanamtuhumu kwa kudhoofisha chama chao
 
yuko jimboni mtera anataka kuchukua nafasi ya lusinde kwani wananchi wa kule wanamuona lusinde ni muigizaji tu
 
Alipokuwa analeta thread hapa alikuwa anatafuta popularity ili serikali na chama wamwone na kishe nong'onezewa sasa anajiandaa kukabidhiwa wilaya labda ili apate uzoefu kwanza. Na kabla ya yote yuko kwenye pilikapilika za mkuu wa nchi akija usa afungue tawi la CCM NY City, aka pale Mount Vernon.
 
Amenunuwa gari mpya aina ya NISSAN kwahiyo yeye ni misele tu kwenye mitaa ya New York, na hana mpango na JF kwa sasa, subirini hamu yake na gari mpya ikiisha mtamuona tena hapa.
 
kwa status zake facebook,kapata chuma kipya hivyo wanaleana kwanza.....nyie mwamtakia nini mwenzenu anakula rahaa?!
 
Back
Top Bottom