Yuko wapi mzee Makamba.....CCM imemtosa?

TheUchungu

Member
Jan 17, 2010
21
0
Jamanni tokea siku CCM ilipozindua kampeni zao pale Jangwani ambapo JK alidondoka sijamsikia tena Mzee Makamba kwenye kampeni zinazoendelea....au kuna mtu amemuona jamani kwenye kampeni Mwanza,kagera...mtwara...

Zipo fununu kwamba aliboronga sana kwenye kura za maoni na kwenye mkutano mkuu kuwapitisha wagombea pia aliharibu sana...mwenye taarifa???
 
Makamba sio planner,strategist au thinker.Makamba ni ze komedy wa chama, namba hiyo anaiweza sana.
Sasa akienda mikoani atakikosesha chama kura bure.
 
Alipokea pesa nyingi sana katika kipindi cha kupitisha wagombea wa ubunge na ndio maana alisimama kidete kuwatetea waliotoa hongo kuna mgombea mmoja alimlalamikia akamwambia "sasa wewe hujui hiki ni kipindi cha mavuno?" hebu lete pesa hapa nitakusaidia...................
 
kazi kweli kweli
huyo ndo Makamba baba yake JANUARY ambaye amepita bila kupingwa. Like father like son walah
 
Hamkumbuki aliambiwa na Jk apunguze kubwabwaja, maana huyu jamaa akianza kuongea huwa hana breki.
 
001.jp.jpg

Like father like son?!
 
Mzee Makamba kajichimbia Bumbuli kwenda kuongeza nguvu za giza kwani mgombea wao JK mambo yanakwenda mrama
 
Alipokea pesa nyingi sana katika kipindi cha kupitisha wagombea wa ubunge na ndio maana alisimama kidete kuwatetea waliotoa hongo kuna mgombea mmoja alimlalamikia akamwambia "sasa wewe hujui hiki ni kipindi cha mavuno?" hebu lete pesa hapa nitakusaidia...................[/QUOTE
Nasikia tetesi kuwa kipindi cha nyuma wadau kama hawa wamemjengea "rest house" inayo itwa jina la milima ya kwao hapo Morogoro.
 
Tena ukimtaja mtoto wake nasikia alisemwa sana na nusura kamati kuu imteme mwanae kwakuwa wallicheza sana rafu...ili kumbeba mwanae ilibidi atangaze watu wenye kadi wote waruhusiwe kupiga kura ila kura feki zitumike...matokeo yake nasikia kura zilizidi idadi ya wanchama....sidhani kwanini JK anaendelea kumbeba huyu mzee hata msekwa aliwahi kusema Makamba ndio anaharibu chama na akaahidi kumshughulikia kwenye kamati kuu sijui ilikuwaje..
 
Makamba yupo Sumbawanga anatengeneza mambo ili aendelee na cho alichonacho
 
Tena ukimtaja mtoto wake nasikia alisemwa sana na nusura kamati kuu imteme mwanae kwakuwa wallicheza sana rafu...ili kumbeba mwanae ilibidi atangaze watu wenye kadi wote waruhusiwe kupiga kura ila kura feki zitumike...matokeo yake nasikia kura zilizidi idadi ya wanchama....sidhani kwanini JK anaendelea kumbeba huyu mzee hata msekwa aliwahi kusema Makamba ndio anaharibu chama na akaahidi kumshughulikia kwenye kamati kuu sijui ilikuwaje..

Thubutuuu wamshughulikie kama hajawageuza ngedere.
 
mzee ma rope yupo Bumbuli kwenye kampeni? jamani january si kapitishwa bila kupingwa
 
Waache wale nchi, kisha wawaweke watoto na nasaba zao ktk system na USALAMA
sisi watoto wa wakulima tuna akili za kuzaliwa na wala hatukubali kubebwabebwa. tunasonga mbele kwa akili na utashi wa kuzaliwa.

Hatuna akili za mbayuwayu. Ila tunamtega mbayuwayu na kumfanya kitoweo.

Am so piased off
 
Nilimwona jana akielekea bagamoyo, eti maji yamezidi unga thithiem!
 
Makamba sio planner,strategist au thinker.Makamba ni ze komedy wa chama, namba hiyo anaiweza sana.
Sasa akienda mikoani atakikosesha chama kura bure.

Ni kweli, Makamba ni mtu wa makundi ndani ya CCM, hivyo kutembea naye atazidi kuharibu kupitia makundi yake kwani aliowaumiza na ambao bado wanaugulia ni wengi mno hivyo hawatakubali ku compromise na mbaya wao zaidi ya kuzidi kuharibiana..angalia alivyoenda Tarime
 
Mbona yupo kwenye kampeni za ccm zinazoendelea nyuma ya pazia kule ambako wenye uraia wanaambiawa siyo raia kwa faida ya ccm.
 
Hapana....mtoto ana damu nusu toka Bukoba.....hawawezi kuwa sawa
Na hapo Januari alikuwa akisema hivi..... In fact because baba ni Katibu Mkuu wa CCM no'mtu mkuru mno ndani ya CCM. Usilete mchezo mimi ni hatari tena ya danger ............................... Mhhh chei nimekataa and I have said it sibadiliki. Si unajua kule kwenye kura za Maoni yule mzee wa Bumburi hakuona ndani tulimtoa live kabisa. Wapinzani nao tuliwapiga down kubi na hakuna wa kunifikia in fact ndiyo maana nilipita bila kupingwa. Unafwanya mchezo; Mimi ni nusu nshomile mpaka no class ahead. Na nimekuwa speech writer wa president na sasa najuwa nitakuwa angalau kaminister hivi ka information kama si uenezi...... Mambo hayo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Like father like son? How about Mother?.
 
Back
Top Bottom