Yu wapi Odong Odwar?

Yule jamaa kipindi anasoma mimi nilikuwa nishatoka hapo miaka 8 iliyopita lakini nilimjua, media zote alicover yeye, alichukua fomu ya kugombania uraisi uongozi wa chuo wakaona atashinda wakafikiri itakuwa dharau raisi wa UD atokee uganda
Alikuwa anaogopwa tu na chuo, unajua karibu marais wote wa DARUSO ni pandikizi wa chuo au wanawekwa na 'wenyewe'.
 
Yule jamaa kipindi anasoma mimi nilikuwa nishatoka hapo miaka 8 iliyopita lakini nilimjua, media zote alicover yeye, alichukua fomu ya kugombania uraisi uongozi wa chuo wakaona atashinda wakafikiri itakuwa dharau raisi wa UD atokee uganda
Mkuu hesabu zako unapigaje? Mimi nilikuwa pale miaka kumi iliyopita nilizikuta stori zake ila wewe miaka nane iliyopita alikuta umeshatoka?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Una kipele wewe, umefata nini kwa thread hii? Umelazimishwa kishobokea uzi huu?
 
Back
Top Bottom