acha uong wewe anishi kunduchu beach bonge la nyumba!Yupo mjini anaendelea na kazi yake ya uwakili kama kawaida, ile Land Cruser mkonge ameipaki siku hizi anatumia Suzuki Grand Vitara ya Blue na anaishi maeneo ya Sinza kwa Remmy.

Kashazimwa kisiasa na CCM kwa kumrubuni kuja nao kama ilivyokuwa kwa Msabaha wa CUF
Alikuwa mbunge kupitia NCCR baadaye akajiunga na CCM,pia ni wakili, hata huvyo,Itabidi tuwaulize CCM walikompeleka
Msumbuko ni mwanasheria huyu.Alikuwa mbunge kupitia NCCR baadaye akajiunga na CCM,pia ni wakili, hata huvyo,Itabidi tuwaulize CCM walikompeleka
watu! peopleeeeeee jamaniii nilkuwa nimenuna sasa nimecheka mpaka meno yote 32 nje hahahaaaMsumbuko ni mwanasheria huyu.Mara ya mwisho nimemkuta mahakama ya Kariakoo akitetea wezi wa kuku.Kavaa koti linalomtosha mwanawe na miguuni makubadhi.Wallah dunia tambara bovu!
Wizi mtupuuuuu!! Kila siku wanachakachua mil2.5 za watoto wa wakulima pale Tumaini tena bila huruma na huyo kaka yao Malasusa (Askofu) hawaoni hata aibu. Wanafunzi wakikoroma tu kidogo wanafukuzwa sasa angalia na wewe siku ukimkoromea tu mwanae unapigwa kando.Mwacheni Baba Mkwe wangu...